Kabisa kama hauna imani ata ukikesha nakuomba ni bure🙏
2026-05-20 04:31:11
34
NEEMA KOINASEI designer :
mimi siwezi kuomba sana ila maneno ninayojitamukia yanakuwa kwa haraka sana maana naweka imani bila waziwazi
2026-05-20 17:59:58
19
juju :
AMEEN
2026-05-22 07:43:49
1
kihaga :
Sura nzuri akili nyingi dada fiona🥰👌
2026-06-15 09:52:36
3
user243839792reybk❣️🌹 :
Asante sana
Mungu akutunze kpnz ❤️
2026-05-20 18:27:18
5
Moïse Saidi :
ukweli mtupu
2026-05-19 21:01:52
9
G♌💫 :
Ahsante baby tunajifunza mengi kutoka kwako Mungu akupe kibali cha maisha marefu 😘☑️
2026-05-26 07:55:25
8
annakabebetour4 :
Imani ni kila kitu ikiambatana n maombi mazuri na hard working me nna ushuhuda hasa mwez wasisahau kushukuru wakichoka kuomba sema Asantee nashukuru at kwa Amani tu
2026-05-21 09:51:20
8
Esu :
Kweli kbs
2026-06-07 06:29:07
1
Ebenezer :
i agree with you on your nice words of encouragement.🎧
2026-05-20 02:48:57
5
Collins Lyimo :
kweli kabisa MAOMBI bila imani hakuna matokeo.🥰🥰💯💯🙏
2026-05-20 04:39:33
7
Handbags_by_holy :
Dada ni kweli pia kuna Kuomba Mungu akupe nguvu ya uwezo wa kumuamini zaidi 🙏yaan unaweza kuomba na kupokea imani b
2026-05-20 10:25:37
8
FARAJA E.E :
ni kweli kabisa
2026-06-07 12:16:16
1
Christina Ismail :
kwani da FF hiyo akili na sura ulijiumba ??mashallah 🥰🤗
2026-06-13 21:55:45
2
user6913353240683witnessppp :
nakupenda mwanangu ninakukubali sana
2026-06-08 07:14:30
1
@lissah mwesh :
Imani ❤️❤️❤️❤️
2026-05-20 15:49:27
2
beath :
Amen🥰
2026-05-21 14:47:31
1
lui_products_tz :
Wewe ni Genius 🥰
2026-05-21 10:22:27
3
Amina Mina :
Fifi mama inatosha sasa🙏🙏 ASANTE KWA KUFUNGUA MAOMBI YANGU
2026-05-29 07:04:41
4
Prayz Nkya :
kwelii kabisaaa
2026-05-20 19:55:44
3
Irene Magwizi :
imani 😘😘
2026-05-21 02:23:21
3
annieommy4422 :
Kweli
2026-05-21 05:24:18
1
cute💞 :
umependeza Sanaa
2026-05-22 19:56:43
1
starehe🙏♥️ :
Hiii nayo nikwel
2026-05-22 23:26:47
2
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm
homepage.