hapa hujagusia kuhusu ushuru na kodi upande wa huku baada ya kuvuka boda
2026-08-01 15:23:28
0
abamagiantism :
kaka mm nimemaliza chuo Nina rafiki Malawi nimepanga niwe napeleka samaki huko malawinishauli nianzeje mtaji sina
2026-07-29 15:17:17
0
Said Rubeya 🇴🇲 🇹🇿 🇨🇦 :
Dr Fogo..chaka2chaka 🔥🔥🔥 😳😳 safi sana..
2026-05-20 17:01:26
4
Myet JR :
vijana wenzangu Fogo sio mtu wa kumdhalau aisee, nimejitahidi Sana kumfatilia ni mtu makini Sana!
2026-07-23 08:23:15
0
George Nyirenda :
nikweli kaka mimi ni mu malawi nalima karanga ila kuna watu wengi wanalima karanga huku kwetu yaani kuna fursa nyingi ya karanga
2026-08-02 09:13:03
1
Thureea Abuu :
Ahsante kaka Fogo nakusikiliza sana
2026-05-25 20:32:34
0
kingi0120 :
Fogo 🙌🏽
2026-05-25 05:59:56
0
user6332461912330 :
Hahahahahahahaha.
2026-05-20 16:44:44
1
Albert Macha :
hiyo 2270 ukikovert to tsh ni 3415 uki jumilisha 200 alafu utoe Kwa 5000 unabaki na kama 800 hiv
2026-05-20 16:33:30
9
SIMBA MWENE :
+ ya kupakia ya kushushia
2026-05-20 10:34:36
4
justine :
tonnens 60 hamna ni tonnens 30 mpaka 32 kwa viwango vya taniroad
2026-05-23 10:00:55
1
Wabheja_tz :
Tafadhali hii mnaweza kuichanganua zaidi kwa faida ya wengi ?
1.Mchakato wa kwenda .
2.Machimbo ya karanga.
3.Usafiri
4.Malazi
5.Vibali
6.Money Exchange &precautions .
7.N.k
Asante
2026-05-25 14:41:10
1
Rey Anderson :
Fogo tu connect basi , Nitakutafuta
2026-05-22 05:54:20
0
mosinda12 :
Fogo ulinisaidia sana kubadili pump yangu petrol na kutumia Gesi na hivi mafuta yamepanda napata sana unafuu wa kumwagilia l.. Thanks sana
2026-06-14 11:55:02
0
ahaditaifa :
ipo siku tutaonana tu mzee baba @fogo
2026-05-20 17:40:39
2
allymrombo :
🔥🔥🔥
2026-05-28 09:38:16
0
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm
homepage.