@batibora2: SIKILIZA UTAJIFUNZA KITU KUHUSU UJENZI #mabatihouse #ujenzinafuu #eastafricaradio

BatiBora✅
BatiBora✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 20 May 2026 10:40:29 GMT
176600
4833
272
476

Music

Download

Comments

dryland292
Dryland :
Mwaka 2013 rafiki zangu wawili walinikosoa nisijenge nyumba badala yake nifanye biashara nikawaambia Nina familia ya watoto wawili sitapata amani kama nitaendelea kupanga. Leo Nina nyumba kadhaa na biashara ila wao hata viwanja hawana na biashara hawana.Nyumba Ni muhimu Kama una familia.
2026-05-21 08:13:21
71
kindrox_bright
kindrox bright :
Tuanze hapa 3,600,000/1,100 =3,273. Ambayo ni idadi ya tofari hizo ulizo sema sasa hizo tofari hazito jengwa zenyewe zitaitaji 1.cement 2.mchanga 3.kokoto 4.nondo 5.mbao 6.misumari 7.bati 8.maji. Na variable cost zingine ingesaidia sana kama ungeweka na mahesabu ya hivyo vitu vingine ingesaidia sana.
2026-05-20 12:44:03
25
msafiripotami
msafiri potami :
jmn mimi nipeni sh45,000,000 nakujengea vizuri sana nyumba ya room3 za kula bila shaka kabisaaaa
2026-05-20 16:30:27
5
user22467964629044
NishaQA :
So kweli iyo pesa ndogo kiwanja tu milio 250 adi milion 3
2026-05-20 16:11:27
6
user14419543203952
R munishi :
hii uongooo 3600000 ni choo au tatizoo mahesabu hamfanyi vizuri ni kudanganya watu tu vyumbaa vitatu na sitting room lazima 45 mpaka 70 million mpaka ikamilikee
2026-05-20 19:15:57
2
kingesto_
Tzs estoking :
Sijui nimeelewa vizuri ila nilivoelewa pesa anayotumia kupanga kwa miezi sita ni 1.8m na kwa mwaka ni 3.6m na 3.6m inatosha matofali ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule jiko na dining kwahy kwa hela atakayolipa kodi kwa miaka minne ambaya unafanya 3.6x4=14.4m mpk nyumba ikamilike kwahy ukiwa na 15m unajenga nyumba yako nzuri 😊
2026-06-09 10:01:12
2
user3812912565303
Isaac :
Binafsi nakuelewa sana Boss
2026-05-21 13:17:50
1
braytonnorobeth1
braytonnorobeth1 :
Jaman hsidanganyike hyo pesa ni ndogo saaana
2026-05-20 17:18:29
1
madamteache1
Madam-teacher ❤️ :
Mnanichanganya jamani na mimi Nipo kutafuta ramani niweke kibanda changu
2026-06-12 16:06:54
1
j12345370
j12345 :
tofali sass 1300
2026-05-23 19:46:34
0
frediechuga
chuqaa :
sio kweli
2026-06-22 05:45:48
0
fabianmaneno2
manenofabian :
nimeelewa hapa mwkn naanz ujenz
2026-05-22 12:48:30
0
robby4092
Robert :
nauza popcorn machine bei poah kbsa 150 location Mbagara
2026-06-17 20:17:21
0
user9466592086173
user9466592086173 :
naomba namba
2026-05-21 05:08:23
0
salimu_alute
ALUTE MEDIA UPDATES :
Mzee hii kweli
2026-05-25 17:41:56
0
tobastian.chelang
tobastian chelango :
mh
2026-05-20 19:52:49
0
peace.amani6
Peace :
1,000,000 x 3,600,000 unamaanisha?
2026-05-22 22:58:10
0
thina.deriki
Thina Deriki :
nyumba nimhimu sana
2026-05-21 13:59:40
0
isabelavenico
Bella :
mmh ya kweli haya
2026-05-20 11:38:24
2
allydaddy80
my name is.. :
boss iyo pesa me ninayo nataka unijengee iyo nyumba
2026-05-20 17:07:09
1
kizaaochi
Zephyr :
hiyo ni nyumba au gofu
2026-05-21 10:54:08
0
kulelebarnaba
@barnaba_kulele :
mmmh really??!
2026-05-20 15:53:39
0
user6946800816018
user6946800816018 :
mbn kilakityu kalibu jmn😭
2026-05-20 19:03:59
1
sonb87
benxon08 :
haija ongea kiingereza hapo, skimming, finishing, wiring
2026-05-21 15:12:05
0
peace.amani6
Peace :
1,000,000 x 3,600,000 unamaanisha? Au milioni 3.6?
2026-05-22 23:00:37
0
To see more videos from user @batibora2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About