na wenye tuliacha kuomba hizo pesa can we be friends plz
2026-05-22 16:17:33
599
Ann 💃💃 :
mimi niliacha kuomba, maana hata nikiomba sipewagi
2026-05-21 18:22:53
162
Luseka E Caroline :
that's true 😳😳 imagine wangu Niko naye 2 coz of ma kids.I pay ma rent, school and shopping in the house.some times I really feel so tired of this thing called marriage.
2026-05-21 12:55:29
25
suhaila🥰🥰♥️ :
hii nayo namtumia direct mambo ya status Hapana hatoangalia
2026-05-22 12:45:23
68
Zuri Bea🌷✨🦋 :
nani mwingine ana watch hi Friday morning hi 😅
2026-05-22 03:01:26
364
husnat :
mungu aniepushe na hyu pepo
2026-05-21 05:43:55
56
Arijey :
hii nayo imfikie tu mtu wangu 😁
2026-05-20 19:11:06
140
Bea 3 kitten :
Niliacha kuomba mwanaume pesa
Thank you God for blessing me with a job
🙏
2026-05-23 16:25:25
9
🌲🌴KIRUNGI🌲🌴 :
🦋:nani mwingine ana watch hi Friday evening hi 😅
2026-05-22 10:49:39
38
I SPOT 👀👁️ :
Aki huwa unatutetea aki🥰🥰🥰🥰. Thanks.
2026-05-21 13:57:41
14
Dada Fii :
moja kwa moja status wallah
2026-05-22 15:01:24
16
@lachari🌟🌟 :
wenye tumepatana Na hii majioni😂😂say hello😅
2026-05-22 15:55:54
34
lily💞💞 :
Guys samahan sana ila naomben ushauri Nina mpenz kila nikiomba ela ananijibu t saw alaf hanipi sijuh Kwa nn anafanya hvy ila yaan had nimeshachoka kujielezea jaman kwake😭😭 na ananiambia ananipenda hv kweli
2026-05-21 21:46:00
6
msooni sooni :
ama nitag wa mine
2026-05-23 20:09:49
6
it's vee2019 :
who is watching it now Amin now🤣
2026-05-22 10:29:54
9
overcomer :
wenye tunajitegemea mko wapi
2026-05-23 05:39:43
6
Kevo Wa Mawaya💡🦺 :
mimi hadi nakumbushaga mke wangu what to eat coz anakuaga amekaa na pesa hadi haskii njaa
2026-05-22 04:39:13
6
Kapole😜 :
narepost 😅😅kuja uone hii kababaa🥱
2026-05-21 08:13:43
24
asma kondo🥰 :
unaweza ukajieleza na usipewe
2026-05-21 08:27:36
54
🦋its neenabella 🐆 :
moja kwa moja status
2026-05-22 16:01:36
18
being me🥰❤️ :
Moja kwa moja status😅😅😅
2026-05-22 17:50:14
5
Mamake Stacy n Abel :
pastor umejuje ya kwangu mungu anionekanie mimi
2026-05-21 05:49:03
61
Bella mahir💕 :
nimeongeza volume akajam
2026-05-22 15:44:35
6
To see more videos from user @lex_masai, please go to the Tikwm
homepage.