@arabicwithswabrina: 👉 Jifunze Kiarabu kwa urahisi 📚✨ 📌Somo la leo ni.. Siku za wiki kwa kiarabu 📌 Rudia na usikilize vizuri ili kuboresha matamshi yako. 👍 Like 🔔 Follow kwa masomo zaidi 💾 Save kwa kujifunza baadae #arabiclearning #kiarabu #tanzania #kenya