@mkakamweusii: "Ni ajabu sana kumwua mtu kisa milioni 10 ni hela ndogo sana kwa kampuni ingekuwa labda milioni 100 na damu lazima italipwa kwa damu tumeumia sana kama ndugu na taratobu za mazishi tutaenda kumuaga kumchoma alafu majivu yasafirishwe china " Ndugu wa mchina aliyeuawa na walinzi hapa Tanzania na kumwibia kiasi cha miloni 10#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
mkaka_mweusi☻️
Region: TZ
Wednesday 20 May 2026 20:27:39 GMT
Music
Download
Comments
janeth :
naomba tu Mungu ao masai wapatikane alaka wametutia aibu sana
2026-05-21 13:24:38
56
Duncankipkoechlangat :
10Million ni kama shilingi ngapi ya Kenya
2026-05-27 15:02:24
3
user3074104420787 :
kwakweli Mungu tunaomba Rehema binadam wa sasa hatuna hofu yamungu kabisa.
2026-05-21 03:39:11
34
Shaibu jr :
Sasa Masai million10 anapeleka wapi🥺 daaah polen sana
2026-05-22 00:52:16
36
bishop.ludq🏝️ :
pole sana JETRII
2026-05-24 18:41:54
10
The shephered :
na 10 million ya Kenya ni how much Tanzania?
2026-06-03 11:15:38
1
mayakingalu :
pole sana Nakuonea ata uruma jamani mungu awatie nguvu
2026-05-22 14:16:53
11
Margwe :
poleni Sana
2026-05-20 21:13:34
7
Pierre_Official :
mungu ampe nguvu hyu baba
2026-05-21 18:38:14
7
J,, kumbe :
pole sana mungu yuko pamoja nawe🥰🥰
2026-05-22 04:33:43
6
Mjeshi Nembo Wakitaa :
jamani hii sio haki kwakweli mungu
2026-05-21 23:45:48
9
Radhia :
Huyu jamaa anauchungu sana jamani mwenyeezi mungu awape rehema yake
2026-05-24 08:11:02
8
shatwir zeyn🇹🇿 :
Ila umasikini jamani milioni 10 unatoa uhai wa mtu aisee pessa ambayo kwa maisha yasasa sio kitu mungu tuepushe tamaa mbaya🙏🙏
2026-05-31 05:21:46
4
jaja🌟 :
ni kweli pesa haiwezi kulinganishwa ha uhai wa mtu😭😭
2026-05-27 14:19:17
3
Masha Jumbe :
pole sana
2026-05-25 18:56:02
4
Samleshaz :
poleni sana
2026-05-25 11:10:00
3
Sporah Lyimo :
pole sana kaka
2026-05-26 18:46:49
1
Maître Alain Nzam :
poleni sana
2026-05-25 20:23:40
1
Mwanahamis Yusuph :
2026-05-22 20:35:02
4
YOUNG DAIZER 9GNE :
mlio elewa gonga like hapa
2026-05-27 16:17:31
1
violet :
Pole sana kaka
2026-05-25 17:54:41
1
user2196213656392 :
duh jmn
2026-05-24 10:27:02
1
gabsogaf :
pole bro mungu yupo
2026-05-24 17:58:43
1
fatumakinyashi :
pole san familia mungu awatie nguvu
2026-05-24 05:30:23
2
Mentor Jane :
Poleee sana mungu awatie nguvu na mtoto wa marehemu amtie nguvu na Ujasiri wa kumfaliji mama yake 🥰🥰
2026-05-24 18:07:41
2
To see more videos from user @mkakamweusii, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.