nilikuwa nimechoka sana nimegraduate chuo kwa miaka5 ila wenzangu waligraduate miaka3 niliosoma nao wanamaisha mazuri but Sina kazi nilikuwa nimekata tamaa ila umeniinua tena nitapata kazi nzuri mungu atanirudishia muaka yangu iliyopotea
2026-05-23 05:58:53
15
Mama Izooh :
Hallelujah 🙌 ameeen
2026-06-11 16:52:46
0
une bénédiction pour l'autre🔥 :
amen amen amen celui qui est en moi et plus fort que celui qui est dans ce monde 🔥🔥🔥
2026-06-06 05:47:56
4
Emmy Mallya :
Ameeen🙏🏾
Mimi ni uzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, mtu wa milki ya Mungu. Naenenda kwa ujasiri kwa sababu Yeye aliye ndani yangu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia😊
Asante kwa ujumbe mzuri Mtumishi wa Mungu, more grace🙏🏾🙏🏾