Nina ushuhuda na hii nyimbo, maaana kuna siku saa saba usiku niliisikiliza ile siku niliombaa haloooo Mungu nilimsikia livee, ndio maana tunaambiwa Mungu anaagalia miyooo yetu na sio vinywaa vyetuu
2026-05-22 10:18:17
21
OLIVER 🥰🫂 :
yani hii nyimbo nikiisikia tuu uwa nalia yani daaah 😭😭😭
2026-05-21 08:46:53
18
Minny ommy :
najiskiag kulia nna machungy mengi san🥺🥺
2026-05-23 21:26:40
7
Sheyram 😘 :
mwimbaji Bora Tanzania Mungu akubariki sana🥰🥰🙏🙏🙏
2026-06-24 15:41:31
1
Da Mzuri 🧕😜 :
hii nyimbo wallah hasa hii verse ....unalia mpk unaona yaah naenda kupoaa ss
2026-05-23 16:22:49
2
beatriceayo87 :
nimekumiss
2026-06-17 03:21:35
1
Anastasia phillip :
Nimejitahidi kuachilia lakin nimeshindwa😭
2026-05-31 18:58:51
1
Ms p🦋✨. :
Unaitwaje huu wimbo pls
2026-05-22 13:39:01
2
dyumamaryam :
Nmeshindwa kuachilia maana mema ni mengi mnoo nmetenda lkn kwann nlipwe hivi
2026-06-28 03:11:27
1
Daniel Mwanda :
nimeshindwa kuachilia kwakweli Kwa maana dah 😢😢
2026-05-31 19:28:33
1
SARAH G😘💟🔐 :
Mungu wangu 🥹😭😭🙏
2026-05-23 10:02:13
1
Adelyne :
Amen
2026-05-23 09:33:30
1
Tinna😜🥰🥰 :
kaimba nani
2026-05-23 07:51:49
1
Annie :
Yesu😭😭😭😭😭😭nisaidie
2026-05-22 07:54:04
0
Greener :
Niliona Nipo pekeangu kumbe nipo na mungu wangu 😭😭Asante mungu
2026-05-22 10:52:58
1
kimangila girl ❤️ :
amen
2026-05-21 18:27:37
2
reylahmichael :
Amen🙏
2026-05-22 11:53:25
1
Greener :
Eee mungu nakuomba unifanye Niwe mpya nina mzigo unanilemea ,,mbona Siwezi kusamehe😭😭
2026-05-25 06:43:29
1
MISS_VAILETH :
nimeachilia🙏🥲
2026-05-23 11:39:03
1
light og :
jaman nyie achen tu
2026-05-21 09:52:31
2
phylis Okapesi :
Amen
2026-05-22 22:14:54
1
Lyimo.nipner :
😭😭nmeachilia eeh Mungu
2026-07-16 20:36:13
0
nyanda :
amina
2026-05-21 11:57:31
0
To see more videos from user @_alexee_05, please go to the Tikwm
homepage.