@bolingo.zaire: Replying to @ekisimbadababy Jugement | Ferre Gola | tafsiri ya Swahili. Watu wote wanaoongea Swahili karibuni sana. Leo ninewatafsiria kibao hichi chake Ferre katika Swahili. Tonight maoni yenu kuhusiana na historia hii ya mapenzi nzuri sana. Mwanamke anaanza kwa kusema miali ya jua la asubuhi imempiga using na akiwa bado amelala tu katika usingizi wa mapenzi. Toa maoni yako kama unakuboiana nae. #jugement #ferregola_lepadre #swahili #goma #bolingozaire @ekisimbadababy @Mupenda Nickyta