Hata mm mwisho wa mwez huuu nkishalipwa naacha kaz maaan sio boss wala wafnykz wote wanafik nafny kaz vzuri lkn kila siku visaaa masimango, kila siku unawa leo nkienda kazn ntaambiwa nn hapan Kwakwel pesa inatafutwa na God knows the best ntapat tu kazi sehm ingine yenye amani.
2026-05-23 14:15:29
10
kinota_tza :
hii podcast Ina madini yamenyooka sana🫡🫡🫡
2026-05-21 17:19:14
20
Faraja Mdeya :
niliacha kazi sababu Sina furaha na Sasa nafanya kazi zangu nikiwa na amani na nguvu mpya kabisaa,,,kazi unaweza kuipenda ila watu watasababisha uache
2026-05-24 12:15:49
3
lifetime's :
let me save it🥰
2026-05-25 01:21:31
0
Alex@ :
saw kabisa boss sahihi
2026-05-22 10:58:25
7
mwasit🦋⚘️ :
maisha💕correct bro
2026-05-23 09:19:40
1
NINO_BOUTIQUE STORE🇨🇳🌍 :
umenigusaaa hapooo
2026-05-27 15:46:56
1
named ray :
This happened to me daah
2026-05-23 05:44:41
0
Rbyct💦 :
dah😣
2026-05-23 10:26:51
0
nasrimaherezdibeg :
jamaa ypo sawa mno
2026-05-22 10:34:37
10
happy mayanga :
yamenikuta hayo duh maishahaya😳😳
2026-05-22 17:07:47
3
CRETY BILAMA 🙏💥🫶🏻🙏💫🙏 :
kabisa kakak
2026-05-22 17:32:12
0
shakila :
yani
2026-05-22 17:54:35
0
ms minah :
mi yalinikuta haya maisha yalibadirika baada ya kuacha kazi lakin nikapambana,sasa hivi nmesimama tena Allah mkubwa uvumilivu na uthubutu ni ngao kubwa
2026-05-22 14:13:38
11
Henry :
that's why nmechagua sehem moja familia itakapokaa siku zote haijalishi Mimi kama baba nitazunguka kias Gani Duniani
2026-05-23 06:15:48
2
mars :
ndo nachopitia sasa😳
2026-05-22 17:08:36
4
@ bm :
jamni ata mim natamni kuacha kazi
2026-05-22 14:28:20
4
Ngll's Niece. :
live bila chenga
2026-05-22 12:53:18
2
Emmyleons😍😍 :
hatar sana
2026-05-22 15:28:45
1
NEY QUEEN :
ndo ninaelekea pia
2026-05-22 17:58:17
0
maryn :
niliacha kazi ,na sikuwa na kazi ila masimango fedheha adi presha ikawa juu ,sasa nimejiajir nina amani kubwa sana
2026-06-05 11:19:32
0
Elegante Fee :
Kweli kaka
2026-05-23 06:42:33
0
abdul zagala1 :
Yalinikuta mimi hayo
2026-05-22 12:48:47
0
To see more videos from user @letsimpactmillions, please go to the Tikwm
homepage.