@willium_creator: our love story 💞#tenda #wema #instagramreels #instadaily

willium_Creator
willium_Creator
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 May 2026 18:00:03 GMT
113258
7015
78
332

Music

Download

Comments

user387587349653
Dorie Travo❤️ :
Congrakumanina zenu
2026-05-22 10:24:34
15
t417epp
t417epp :
kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi sina la kusema asanteni sana
2026-05-22 05:50:48
30
officialwinlady
@officialwinlady :
apo amna upendo, upendo wa kweli haufi ata iweje
2026-05-24 13:14:07
12
viloe133
viloe :
true kak si n wagumu kusahau 🥺🥺
2026-05-22 12:19:20
6
avelina.godfrey
Avelina godfrey :
utamuuwa mwanetu au
2026-05-21 18:51:01
17
business..0759544432
Destiny mwende :
hii movie ni tamu
2026-05-22 16:26:36
2
mutaigideon85
@mutaigideon :
bro ameamua kutusemea Jambo ambalo wanaume ukuwa Na mzimamo Kwa DOA. Zaidi ya yote nawatakia Maisha mema🙏🙏
2026-05-22 03:34:34
12
daty200
daty :
awa wanapendana sana na wameamua kuacha mengi wanapendana sana.wote watam.
2026-05-22 08:09:41
4
phina.keche
Phina Keche :
mnapenda kujiamulia mambo nyie 😳
2026-05-21 21:09:32
5
lilvortex6
lilvortex6 :
kwishaaaa
2026-05-22 02:02:17
3
user3934708487368
stevendaud :
mpo vizuri na mnawekana wazi kabisa hisia za kila mtu🥰
2026-05-22 05:38:59
2
musabbz2
userMusa D Talange :
😀😀😀😀 naelewa lakini the true love 💕 absorb everything...ni hakuna kuachana...we always fall in love with the fresh...not the body
2026-05-26 03:34:12
1
lusiarichard276
lusiarichard276 :
daaa mnagusa maisha yetu
2026-05-22 19:57:07
1
goloman61
official goloman wizzo :
jamaa anaongea kwa hicia jambo lakusaliti
2026-05-29 09:57:45
0
businesscoach6
business coach :
usimwache bhn
2026-05-22 08:57:43
1
sabina.shete
👑Sabina👑 :
mnapenda kujiamulia mambo wanetu
2026-05-23 17:01:48
0
mani.kunze
MANI KUNZE :
Ile moment 😁
2026-05-22 05:59:58
0
janeth.mwesa
Janeth mwesa :
Yan nikam wanatanian kumbe ndo ujumbe tunapew
2026-06-01 18:24:18
0
hope.myenzi
Hope Myenzi :
nawapenda tu
2026-05-29 16:25:19
0
am_sumy
am_sumy :
kwahyo hamjaoana wenetu
2026-05-22 06:39:52
3
jannethsulle
Janneth Sulle :
kumbe umesikia nikajuwa umeona
2026-05-22 07:00:41
2
bone.simeo
Ndo Mimi :
imagine ni dada ako unamskia anavosifiwa et mtundu kitandani n.k Daah🥹
2026-05-22 00:59:02
3
zephaniahjescah
Jescah🦋❤️💫 :
Kwann kupashwaaa 😂😂
2026-05-21 21:39:28
4
To see more videos from user @willium_creator, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About