@johnmnguttu:

johnmnguttu
johnmnguttu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 May 2026 20:45:32 GMT
189373
7246
188
2149

Music

Download

Comments

shako_djasmin02
Shako-Hawa :
mungu anipe mwisho muzuri kuliko mwazo
2026-05-22 08:27:23
27
everlyne.nanjala
❤️EVE 💖🌹 :
mambo ya meza ya bwana ni jambo la kuingiza watu kwenye maagano mabaya, mimi binafsi mambo ya meza ya bwana siwezi kula , maana niko na yesu mwenye meza.
2026-05-24 19:27:06
4
nadinesalima2
nadine :
umesema kweli baba mume wangu ni mushawi amenioga mimi
2026-05-23 03:19:51
3
boneretainer
Bone Retainer :
aisee naomb mungu anipe hatima njema, maan sass sielew kabisa
2026-05-23 06:04:04
13
ibracountry_hip_ho
Ibracountry_Hip_Hop :
Nehema ya Mungu ituongoze
2026-05-22 13:58:05
8
chris_moloko
Chris_moloko :
wote nyinyi wahunitu
2026-06-19 21:07:02
0
ninteretsejonas
Ninteretse Jonas :
jesus help us because we are at the end of the world
2026-06-12 15:06:38
2
yourboy_creative
yourboycreative :
Ndio maana wameleta AI ili kufanya confusions, ukiona video ai picha uzani ni Ai kumbe zingine ni ukweli.
2026-05-28 05:51:21
7
user119282619510
[email protected] :
Neema ya Mungu itusaidie
2026-05-22 19:28:53
13
user267477128
Junior Silva :
mungu anipe mwisho mwema
2026-05-26 13:28:10
1
isaya5417amen
ISAYA 54:17 AMEN :
Mungu nisaidiye, na family
2026-05-22 03:59:26
5
user2225738637314
Elishadai Thomas :
Ameeeeeeeen Ameeeeen Ameeeeen
2026-06-14 03:58:55
1
user1797437278197
Enock mchunga :
Eee mwenyez MUNGU tusaidie
2026-05-22 10:11:50
5
user6039769581033
Chacha 33 :
Ubalikiwe sana mtumishi umeongea ukweli kabisa tujiandae vyema safari yakumshika Yesu kristo wanadharet alie hai maana bila yeye hatuwezi kutoboa
2026-06-15 21:48:19
1
catherinebosibori3
Catherine Bosibori :
MUNGU atusaidia atupe kuelewa saidi Amen
2026-05-22 09:11:35
6
user7937638753250
Arlette Beautyglow :
kweli kabisa mungu taupe holi spirit!
2026-06-10 11:57:00
2
theorister
theorister :
Baba nakuelewa sana, asante kwa kujifungua ufahamu
2026-06-15 22:38:34
1
verenamgele
VerenaM :
Mungu nisaidie nauzao wangu tuwe na mwisho mwema
2026-05-23 09:12:25
6
hiphopnext
Hiphopnext :
Unakuza Mambo.
2026-05-27 04:24:43
4
user9676773080055
user9676773080055STEVE :
Mungu nioe ufunuo nielewe kiroho mambo yanayotendeka humu ulimwenguni
2026-05-22 22:21:56
5
user8060682745255
Julius Labour-run :
ni kweli dunia ya sasa ina marue rue sana
2026-05-27 19:09:19
3
user27122633909690
zachariamatiac Kineke :
sisi hapa kanisani kwetu kila tunapo omba tukizama tuna waona
2026-06-05 05:54:40
2
cizamwalondwa690
CIZA mwalondwa :
mungu tuongoze kwenye dunia yabmagaribi.
2026-05-22 19:38:06
5
mayjohn16
May :
Mungu ni mkuu na Bwana ndilo jina lake
2026-05-23 11:44:24
4
kabuyayaneema
0981977395 :
amen baba
2026-05-22 12:37:04
2
To see more videos from user @johnmnguttu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About