@ismailallyjuma: 1. Askari akisimamisha magari ya mbele na ya nyuma kwa wakati mmoja. 2. Askari akisimamisha magari ya mbele tu. 3. Askari akisimamisha magari ya nyuma tu. 4. Askari akiruhusu magari ya mbele tu. 5. Askari akiruhusu magari ya nyuma tu.