@murralink_technology: #creatorsearchinsights Ongeza muonekano wa chumba/nyumba na yako na sehemu yako ya kazi/ofisi kwa saa nzuri za LED Mirror Clock zilizotengenezwa kwa muonekano wa kisasa zaidi. Unaweza kuset ⏰ Alarm 🕜 kuangalia muda wakati wowote 🏮zinakupa mwanga mzuri na wenye rangi tofauti tofauti 🌡️Kuonesha kiwango cha joto kwenye nyumba/chumba/ofisi yako 📅Tarehe Ni nzuri kwa setup za chumba cha kulala, ofisi na sebuleni. Zinapatikana kwa TSH 45,000 tu Unafikishiwa popote Tanzania #gadgets #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokshop