@ibraah_food_suplement: “Unaanza kukojoa mara kwa mara usiku? Mkojo kutoka kwa shida au kuhisi kibofu hakijaisha kabisa? Hizi zinaweza kuwa dalili za tezi dume. Usizipuuzie. Je, umewahi kuona dalili hizi au unamfahamu anayepitia hali hii?” #ibraah_food_suplement #TeziDume #AfyaYaMwanaume #DaliliZaTeziDume #tanzania🇹🇿