@juma89.abdallah:

Juma89 Abdallah
Juma89 Abdallah
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 May 2026 10:40:03 GMT
282983
3752
295
85

Music

Download

Comments

user8side
side :
kama unamaindi icho kitendo like apaa
2026-05-24 16:44:07
255
gabyzzo45
Gabyzo 45 :
tuliobonyeza tujuane
2026-06-14 14:30:41
101
recho6263
recho :
jamani nikajuwa nakwangu
2026-05-23 18:13:24
109
kailatsaleh7
kailat :
umenishtua nkajua kwangu
2026-06-04 10:30:14
13
drama.queen9165
C, N, J :
M cjashtuka nipo na Wi-Fi 😅
2026-05-26 19:28:04
23
hamis.sela2
Hamis sela :
pole
2026-06-14 19:02:24
0
user6373803248131
mom💝amaira💯 :
tulojua imekuja kweny sm yake gonga like apa
2026-06-21 11:20:49
17
resttry1
resttry1 :
Jmn umeniuza nimebonyeza hadi Mara tatu🥺🥺
2026-05-23 17:33:05
18
mbeya_gamer
@DannyTz :
kama unatumia w-f like apa
2026-05-28 21:23:08
26
pretty.hammy7
pretty hammy💟💯 :
duu nikajua me nimebonyeza et nikajisahau kumbe natumia WiFi jaman
2026-06-24 17:49:21
5
miss_sadia200
Miss_sadia 😘🤩🥰 :
me hua nabonyeza tyu
2026-05-23 13:17:02
12
atila3076
athilaaaaa🔥💯 :
😁😁😁😁 Yani Mimi nimekazana kubonya kukanseli kumbe ni TikTok ila😁😁😁😂
2026-06-15 08:39:40
3
professorkigi
It's prof. kigi :
kama nawew unatumia WiFi 🛜 tujuane
2026-07-13 08:29:52
3
theosenga
theosenga :
😂😂😂mimi nimekazana kucancel ila kumbe 😂😂
2026-05-24 19:15:13
6
lissaalphalissaal
lissaalphalissaal :
hata mm nikajua kwangu
2026-07-11 23:19:34
2
user1068410380878
NORBETI AYUBU :
kama una chukia icho kitendo like hapa
2026-06-16 15:17:01
4
jamesgozzibet
killy70, :
acha utani familia
2026-06-14 05:59:15
0
matle328
✡️💫💫💫☪️ :
cancel
2026-05-22 16:56:44
5
yusiphate3
Joseph balama :
natumia WiFi .nkajua kwangu .
2026-05-24 19:22:03
5
user37175335242311
david ismail :
umenishitua
2026-06-14 16:23:42
0
mpenzuenterprises
Mpenzu_Tz🇹🇿 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-06-11 11:15:44
1
erick_kusekwa
Eric sony :
hata sijatishika
2026-06-16 21:49:17
2
hassaanimen
HD king :
2nao tumia wifi 2juane
2026-06-19 10:41:40
2
shefari.mganwa
Shefari Mganwa :
tulio icheka hii tujuane😁😁😁
2026-06-23 13:19:59
1
tifah785
O𝔽𝔽𝕀ℂ𝕀@l 𝕋𝕚𝕗𝕗𝕒 🥰🎁✅ :
🤣🤣 si nimeanza kucancel
2026-06-03 19:51:42
1
To see more videos from user @juma89.abdallah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About