@lugazo89: #lugazo89

officialluh89
officialluh89
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 May 2026 11:14:47 GMT
269404
18801
354
1468

Music

Download

Comments

nicksonikanga
NICKSON J W IKANGA :
mjomba NANGA nitakuja kukuona nina jambo langu....analysis yako imetukuka....mi wa kwangu anavaa hadi vikuku.
2026-05-23 04:44:28
140
dionestermwinuka
miss dion :
😂😂😂! nilijua tu Nanga lazima aharibu😅
2026-05-23 06:48:53
62
choyojr01
Ibn Choyo :
Mjombaaaa unapenda kujiamulia mambo
2026-05-23 02:04:45
40
swailan.boy
swailan boy :
uyu namtaka maana nina jambo languu soon
2026-05-24 12:27:18
24
without.god.never3
Without God Never :
hio saf mzungumzaji upande wa uoaji hio IPO sw kabisa
2026-05-23 10:27:36
45
elinazi255
elly_255 (Sky is the Limit) :
Nimescroll sana sijaona comment za akina mama humu
2026-05-28 17:46:56
12
alaminsalim01
Al-amin Salim :
degree imefanya kazi
2026-05-22 19:15:59
32
james.godson1
James Godson :
nimeipenda iyo lakin mmesahau Hana bikra pia 😄 ije part 2😂
2026-05-29 15:27:09
6
nzolepalahgmail.com
@official SALIM🇰🇪MKENYA✅ :
😂😂Nishawaiona huu mchezo kabisa kwa rafiki yangu akioa
2026-05-24 15:37:10
17
livingoracle03
Oracle :
mshenga naomba tuongee inbox nina jambo
2026-05-26 10:33:58
17
mzeeods5
MZEE WAODS :
Mjomba katisha sana
2026-05-24 13:48:20
10
kennedy.mafole
iam.kgm :
mjomba ni mama nimeamini😂
2026-05-26 19:31:13
6
98765haje
haje :
tunashukuru tumepata mahari elekezi kwa mademu wa dizaini hiyo.
2026-05-30 05:43:37
9
ramadhani.omary43
Ramadhani Omary :
hii nzuli ila ilihitaji kua na muendelezo
2026-05-23 15:46:42
8
user69023672236373
gervas msongole78 :
mjomba kama mjomba💯💯💯
2026-05-23 04:34:22
9
dullahmatimbwa10
Dullah Matimbwa1530 :
big mwanangu ww fundi unaweza sana kuigiza
2026-05-23 20:02:41
6
kessy.boy2
kessy boy :
daa😅😅😅😂😂😂
2026-05-22 18:12:51
7
vex91051
🌹vex:9💦❤️ :
mjomba katisha sana
2026-05-23 12:39:54
6
lupiano_photographer
lupiano_photographer :
jombaaa wiiiii jombaa waaaaaa😅😅😅😂
2026-05-23 20:06:47
5
gede_ruins23
champezy__👊💯💪 :
2026-05-22 18:36:24
6
mjumbeg
mjumbe :
mjomba unatamaa
2026-05-23 04:06:26
8
nanas.beaut
#nanasbeauty :
mimi mwanangu wangemuacha
2026-06-02 09:03:09
0
nasibuissa
nasibu :
kaka nanga unajuaaaa😁😁
2026-06-03 13:04:59
1
aksa.saleh
Aksa Saleh :
Ila mjomba unazambi kwa hili sikusifii😁
2026-05-29 13:52:28
3
evanceagha
Evanceagha :
@Evanceagha:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-05-26 13:56:09
3
To see more videos from user @lugazo89, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About