😁😁😁 niliomba mala 1 na sikurudia nilliona shaaaaaa~🫴🫸
2026-05-25 16:17:24
1
G 🌟 :
Me mbona sijibiwi hii na nasali mpaka novena🥺🥺
2026-05-23 15:28:48
6
offcial wircky🌺🥰 :
Me nmejibiw ila Bdo nampenda sna 😔 nashindwa kumuacha aende 🥺💔
2026-05-23 08:00:48
28
Kemmy🫧🌸 :
😂😂😂I’ve a testimony 🙌
2026-05-26 16:52:40
2
being gift's daughter ❤️😇🧸 :
kwan humu hakuna voice note nna mengi ya kujielezaa 😭😂😂😂
2026-05-23 14:42:38
16
dad's daughter ♋️ :
sasa mbn mm bado yupo nyie
2026-05-22 16:27:51
11
🎀Shamy_Sharon🦋 :
dah 😅😅😅😅for one year nimeomba juz juz tu Kwa God if sio sahih kwang asepe till nw Mtu yuko kimy nikakumbuka kumbe niliomba kama sio sahih aende kweli God yuko fast kujibu🙏🙏
2026-05-23 07:23:17
7
Husna_Magari Bei ya Jioni :
Mimi tulikwaruzana nikasema ahsant Mungu umemuondoka nashangaa tukarudianaa..😳
2026-05-24 11:38:12
1
being_mimah2 :
Ninaushuhuda na hili usiwahi kuomba jamani kama anakupa ela ishi nae tu mwanetu🙌😂
2026-05-23 09:20:42
5
🦋🔐BABY TOTO🌍❤ :
me nmejibiwa but nampenda, na aliondka kwa dharau najuta kuomba ila haina budiiii😭😭😭😭😭
2026-05-24 13:01:41
5
Candy💫💫 :
nayaomba sana hayo maombi ila mungu ananirudishia yuleyule na nimwaka wa 3 sasa kinachoniuma ni mume wa mtu 😭
2026-05-23 11:52:25
5
Ray R2🦋 :
mbn me naon kama sijibiwi na sina Amani kabisa🥺
2026-05-23 06:45:46
6
meryem🥰⚘️🥀 :
kama hauko tayari kujua ukwel kwa ushauri wangu usimuombe Mungu hilo ombi haki tena yaan majibu ukilala unaamka na majibu🥹🥹🥹
2026-05-23 14:38:27
5
Naah #Mc Maneno :
Kabisa kabisaa naamini katika hili wallah lakini mwisho usisahau kumwambia Mungu nimechoka sasa naomba unipe wakwangu haijalishi atakuja Kwa njia gani nipo tayali kumpokea Kwa mikono miwili🤲
2026-05-23 10:04:09
12
@pendo🥰 :
aseee usiwahi mjaribu Mungu kwa haya Maombi
2026-05-22 15:22:31
6
QUEEN SHANIYA♥️ :
😂😂😂😂😂😂sad truth
2026-05-23 08:42:31
1
huqseeid2 :
Alf ukute unampenda ila ndo ivo 😂😂Mungu anamuondoa alf bado unamtaka🥲
2026-05-23 17:53:01
2
Binti :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ujue nacheka nn
2026-05-23 10:13:46
3
Rose Masue :
ni shwaaaaaah mapema sanaaa😂
2026-05-25 18:24:30
1
Morry🦋💕🛍️ :
😌
2026-05-23 13:03:25
1
Ms.Lee❤️ :
Nina ushuhuda na hili Mungu yupo anaonesha 🥺🥺
2026-05-24 05:51:44
3
SHAGALA WA KUCHEMSHA😄🇹🇿✈️ :
acha tu na akaondoka😅
2026-05-24 19:58:25
4
To see more videos from user @iamneyjojkimby, please go to the Tikwm
homepage.