Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
2026-05-22 18:39:14
0
I'm Eddy :
elimu kubwa Sana hii
2026-05-22 15:59:35
0
Liston Tumwene :
Uko sahihi...waumini hatusomi tunapewa historia na waliosikia kwa wajuaji..
2026-07-08 23:45:04
0
Buffley Buffo kidole :
safi sn kiongozi wetu
2026-05-27 10:11:17
1
njelekela wiliam :
akili hatuna
2026-05-22 21:40:10
0
JOELY ♡ OSODO :
ume ukweli ndugu me mwenyewe waga naumia sana wanapo kua wana kosoa BIBLIA
2026-06-26 11:41:17
1
user458529492076 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-24 03:41:31
1
Jesus Christ is God :
🙏🙏🙏🙏👍🙏
2026-05-23 08:33:53
1
J. B :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-22 15:16:47
1
jameallah regency :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-23 03:02:29
0
To see more videos from user @amkainuka, please go to the Tikwm
homepage.