@bongofive: Wakongwe wa muziki wa Bongofleva wameamua sasa hapa @afandesele1976 hapa @officialchidi_beenz Nani katisha zaidi kwenye hii ngoma?? Unahisi wakongwe wanaweza kuteka tena soko la Bongofleva?? #bongofiveshowbiz #trending #foryoupage #foryou #bongofiveupdates

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 May 2026 15:33:18 GMT
205366
14647
363
411

Music

Download

Comments

moudy293
Moudy_0404 :
kuna yeyote mwenye shaka juu ya ushindi wa afande sele kwenye mashindano ya Mfalme wa rhymes 2004 ??
2026-05-23 03:12:24
97
unknown26lyf3
unknown :
kam unamkubalii chidi benz gonga like 😁
2026-05-22 23:39:58
69
youngwanyama2
youngwanyama✊ :
Sasa ma brother mkiimba kwa asila iviii madogo wataimbaa Nini mbna kma mmepania 😂😂😂🔥🔥🔥🔥
2026-05-22 22:11:10
40
amadov13
Amadov13 :
Kuna style anakuwaga nayo afande sele lazma umpende tu. Kweny hii ngoma kaflow balaa sana
2026-05-22 19:20:11
55
welltonelivingstone
079 Baba Welltone :
Seleman Msindi the best Lyricist,hakuna wa kumgusa Afande kwenye Vina,mpangilio na uandishi
2026-05-22 19:35:59
35
chazitembo3
Chazi tembo :
noma inaitwaje wadau
2026-05-22 18:22:31
8
official_kabaka
Official_Mauzaga :
jina la nyimbo
2026-05-23 10:09:57
5
jeshiii12
MjeshiTeacher :
chidi Benz kawafunika wote
2026-05-24 13:30:46
1
samssoa
samssoa :
afande sele bado yuko moto
2026-05-22 21:11:52
10
makaveldeathraw
Ghullam :
king kong respects
2026-05-22 19:50:48
8
wisdom.back.up
Wisdom 001 :
Afande still mkali sana
2026-05-22 23:57:57
8
mr.vibe62
mr vibes tz :
tuloangalia usiku wa tuzo ya afande gonga like
2026-05-23 11:54:59
8
meshack.laizer5
Meshack Laizer :
ila Chidi ni mkali sana ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-05-23 12:39:13
5
aizak350
HARUN :
Simba zeee kumbwa na meno makali 🥰🥰🥰
2026-05-22 22:22:21
7
peter28400
. :
afande 😃
2026-05-23 05:42:07
3
chikopa.aloyce
Chikopa Aloyce :
kaka zangu good sana mmeuwa
2026-05-26 20:51:27
2
baraka.arbogast0
BARAKA ARBOGAST :
sasa wakongwe wameamuaaa
2026-05-23 16:32:25
2
user1224279304587
abdulazii alfan :
happy sana wakongwe umziki 🙏
2026-05-23 17:01:55
3
nox49mtamaduni
Nox Mtamaduni :
Chid Benz na mwana fa
2026-05-24 12:21:46
3
selemansimbaulang
Brayton Simbaulanga :
saf wakongwe tumesikia sauti za ma braza
2026-05-23 18:23:51
4
godsign00
godsign :
sele mwamba
2026-05-23 04:31:55
4
jahmal288
Chief :
Sasa hizi ndio nyimbo unaweza skiza hata na wazazi. Hizo zingine ni mapenzi na ngono tu..
2026-05-23 13:39:01
4
jbosco11t
jbosco11 :
hatareeeeeeeee💯 saaana💐💐💐
2026-05-24 08:06:39
1
11157zs
11157 :
nainjoy na beat ya old school...safi sana
2026-05-26 20:34:39
1
tali.talitali
tali.talitali :
chid
2026-05-23 06:14:23
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About