najua utakua kwenye wakati mgumu sana ila mungu Huwa hamtupi mjaa wake
2026-05-23 04:43:25
167
BONGO_VIBESX📷 :
Unaelekea kutekwa mungu akupe uvumilivu
2026-06-08 06:56:41
1
Irin....❤️💫 :
Mungu mlinde huyu baba
2026-05-23 12:59:49
84
Side Exellent :
umeongea kitu kikubwa sn,mungu akulinde
2026-05-23 04:46:00
33
frank07 :
Mungu pamoja nawe
2026-05-23 12:59:56
24
Norah Kundi :
wakati wa Mungu u karibu kutimia
2026-05-23 06:57:34
32
eddie_incredible :
SAD TRUE STORY 🇹🇿
2026-05-27 22:22:59
5
MathewSilas🔟🔟 :
Uyu jamaa bado yupo kweli jamn 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-05-23 07:32:30
10
Happy Mwaka :
MUNGU hawahi wala hachelewi anafanya kwa wakati wake pamoja na maovu yote wanayofanya ipo sk MUNGU atailejea tena tanzania ndipo awo wote wenye kibuli cha vyeo wataomboleza tena sana.
2026-05-22 19:40:39
20
NELY :
mungu akutunze
2026-05-31 03:29:37
5
Veronica ❤️🌍 :
Kila lenye mwanzo Lina mwisho 🙌
2026-05-23 16:00:37
9
Ayoubpetro3030 :
kwl
2026-05-22 19:20:19
7
Lily's 💎💎 :
Mungu akutunze Advocate wetu
2026-05-23 08:31:27
12
Last King 👑 Tz :
Mwenyezi mungu ndo muweza wa yote akupatie ulinzi kote utembeapo
2026-05-26 05:05:08
8
vickie :
mbunge wetuu jmn mungu atulindie ww🥰
2026-05-26 09:30:24
5
user3611991609265 :
Inatia aibu sana. Tumepoteza sifa yetu ya kisiwa cha amani.
2026-05-22 20:09:36
11
Raphael Ngoda :
mungu akulinde amen 🙏🙏🙏
2026-05-22 20:50:47
5
Aisha Habs :
mungu akulinde sana baba umengea vinzuri sn hujapindisha maneno hata kidogo
2026-05-23 16:38:37
6
BIG SEVEN YEARS :
safari bado ndefu sana
2026-06-08 12:58:52
0
mtoto wa mjin :
aaaaah nachangia sababu mkuuu unajibu sms tetu😅😅
2026-06-08 17:47:55
0
Steve Francis :
bravo
2026-06-01 13:48:49
1
shebymudy :
Nimekubali kuwa mwenye akili ni mwenye akili tuu.Ongera Madereka.
2026-06-02 22:11:44
2
Semi Ngwabila :
mungu akulinde
2026-05-28 06:37:58
2
user69118378240460 :
mungu ngu akukumbuke
2026-06-03 19:46:14
1
BEI CHEE IGOMA :
Mungu akulinde
2026-06-03 11:51:22
1
To see more videos from user @kikivibe360, please go to the Tikwm
homepage.