@alabeon_chemicals: HABARI NJEMA KWA WACHIMBAJI! Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata leseni ya madini kwa uwazi na bila upendeleo. Pia mfumo wa usimamizi wa leseni unatarajiwa kuboreshwa kuanzia mwezi Julai ili kupunguza urasimu na kuongeza urahisi kwa wachimbaji. Je, unaonaje maboresho haya mapya kwenye sekta ya madini? #MadiniTanzania #Wachimbaji #AnthonyMavunde #LeseniZaMadini #creatorsearchinsights