@kapingadesigns: Hizi hapa ni samari ya haraka ya kila kitu unachohitaji ili kuanza safari yako kama mtaalam wa kudesign (Graphic Designer)! Ni Follow sasahivi upate madini ya motomoto kama haya ... #graphicdesign #learndesign#teaching #5steps #graphicdesigner
me ningetumia hii
kama ningeamka leo nikiwa na tsh 0 kwenye wallet yangu na sijui chochote kuhusu graphics designing na nataka kuwa na ujuzi na uwezo wa kutengeneza pesa leo hii haya ndio maambo matano ningefanya kuwa na ujuzi wa kutengeneza mamilioni kupitia graphics designing bila kuhitaji mwalimu....
2026-05-25 07:20:59
0
brand_nasisi :
🙏🙏
2026-05-28 06:08:26
1
To see more videos from user @kapingadesigns, please go to the Tikwm
homepage.