@faridabeautyacademy: OFFER OFFER TUNAPAMBA MAHARUSI 1. Bi harusi na Matron 250,000 ( Makeup na kubana Nywele 2. Send off 200,000 ( bi harusi na matron makeup na kubana nywele) 3. Simple makeup 25,000 ……………………………….. PIA TUNAUZA FULL MAKEUP SETI swipe left kuona zaidi SETI zipo za 200,000 | 250,000 | 350,000 📌Ukinunua vifaa kwetu darasa Bure wiki nzima ✍️ Kwa wanaohitaji kujifunza makeup Ada 243,000 kwa mwezi na Utapewa vifaa vya mazoezi TUPO DAR TEGETA NYUKI BOOKING ☎️ 0657292650

FARIDA BEAUTY ACADEMY
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 08:46:18 GMT
229537
6842
76
824

Music

Download

Comments

sophiabakar83
sophiabakary509 :
wewe faridamungu azidi kukupa ridhiki wrwe sio mmbabaifu ubarkiwe kwa kweli🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-24 06:44:59
15
edna.nyevu
Edna🌸 :
huna mteja mweusi ata cku moja jaman
2026-05-23 13:58:16
10
fattylishazy24huss
Fatiha :
make up au ni faceputty
2026-06-21 11:42:55
0
usermagyma
M💥 :
naipenda
2026-06-21 07:59:18
0
reenattah19
Reen :
seti simple ya mtu mmoja ambae ndo anaanza kupaka make up??
2026-05-23 19:14:30
1
neemalyimo44
neymo :
da farida simple make up bei gani
2026-05-23 10:27:45
3
alinexftiw7
Aline🙏 :
mzuri sana 🙌
2026-06-15 05:18:45
0
tina.brown.ann
Tina brown Ann :
paja la uso iko wapi
2026-06-19 19:23:43
0
alice.rachid8
Alice Rachid :
asante sana dada
2026-05-23 14:37:19
0
kiliochaedoedo
kiliochaedoedo :
Naomba kuona set ya 200k
2026-05-23 14:14:47
0
user30937727215086
vera beauty supply :
napenda kujifinza sema Niko mbali
2026-06-17 10:09:49
0
user7037763936865
Black beauty 🙈🙈 :
Ada shingapi nataka nije kujifunze
2026-05-24 07:44:02
0
..verony
Vena og :
mm nataka kujua wanja tuuu nisaidie
2026-06-15 08:47:03
0
j.lebral
Petty peter :
Asante natamani kujifunza
2026-05-23 18:09:19
0
user1016541637285
user1016541637285 :
ninataka kujua kujifunza sh. ngap. na uko. wap my
2026-06-17 17:07:26
0
tarriq_homie_quan
yassbaby :
wangejua kama nimeshatoa advance ya siku yangu ya harusi
2026-05-23 10:29:12
1
sospeter0203
Sospeter :
Oooh waooh, nam ntamleta chautundu Wangu😍😍
2026-05-23 22:07:51
0
gailess.edson
Trisha :
seti ya make up shingap
2026-06-04 22:23:04
1
user7880585973504
Estee :
na saut Yako ya upole mbna mtu anaelewa kiurahs,!
2026-06-09 11:38:47
0
baby.jack70
baby jack :
mim natamani kuja kujifunza kusuka kwanza na badae nijifunzi makeup,hiv ada ni shngap
2026-06-20 17:17:29
0
user6848261495988beth
edna❤️🥰 :
boa
2026-06-15 11:16:07
0
ninahoyema
Uptownbeuty Saloon :
hyo foundation na powder shngp??
2026-06-10 08:17:44
0
user4620257921691
charlotte chikala :
mungu akubariki
2026-06-12 04:17:14
0
morymike8
morymike8 :
Saloon ipo wapi?
2026-06-21 11:17:17
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About