@siri.za.uzazi: Hizi changamoto huanza kidogo kidogo…lakini taratibu hupanda kwenye mfumo wa uzazi (kama zusipotibiwa na kuisha)…halafu zinatengeneza PID Sasa Utajuaje kama changamoto yako imepanda kwenye mfumo wa uzazi? Ni rahisi utaona kila ukitumia anti fungal Amna antibiotics hauponi…au inapona halafu baadae inarudi upya