@nyebowsa_media: By that time ilikuwa ili Uonekane Msanii lazima uimbe Hip-hop kidogo na King @officialalikiba alinaswa kwenye mtego huo Hemu niambie amepita Kama rapa gani wa sasa? #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #alikiba

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 11:49:59 GMT
189618
12288
315
266

Music

Download

Comments

user9976152080776
Monnah🔥🪐 :
ndo akasema sichezi na dada zangu nacheza na dadaako kumbe iyoo statement imetoka apa😂😂😂😂🙌👑
2026-05-23 15:19:03
129
user4407443978229
Manchester city :
ndio maana huwa diamond hawezi kuwa zaidi ya Alikiba, yow ye baba.
2026-05-23 14:31:14
67
mwitapaul2030
Mwita Paul. :
Kwani how old is Queen Darling?
2026-05-25 17:45:07
8
user62702440673475
esther :
nyimbo mpyaa imetoka na hamsemi😳
2026-06-05 06:01:57
3
mwero_ngoka
mwero ngoka :
huyu n mwanamziki yupi jamani
2026-05-25 08:15:54
14
mwamry8
@mwamry 8 :
tunaesemaa uyoo mdada ni quen darin gonga like apaa
2026-05-25 18:35:03
23
nicolaus_barnaba
NICOLAUSBARNABA :
Duuuhh aise ety kaimba hip hop hatari sana waandishi kueni makini tofautisheni kati hip hop na rap
2026-05-23 14:25:31
14
mamy_731
magnetic mamu🌷⚘️⚘️ :
cjawahi Acha kuipenda hi nyimbo..it was my favourite song by that time 🥰
2026-05-23 12:06:20
11
asumoney8
Asumoney :
Watoto wa Ilala/Kkoo wote wanaimba na kuchana Dully sykes,Kiba,Blue,
2026-05-23 14:38:10
20
chombodziwe
HEAVY DEE :
kiba ni mzee 2007 2010 anawika
2026-05-23 14:21:13
13
hassanbakari475
Hassan Bakari :
huyu jamaa n KING 👑 bana nani anabisha
2026-05-25 16:26:44
6
user75mselahchapaa
Mselah chapaa :
king kiba cku zote 🇰🇪🇰🇪
2026-05-24 02:20:18
6
cheppy.mazengo
🇹🇿 🇸🇴 Twins Mazengo :
Hapa wasanii wengne walikuwa hawajazaliwa bado ,King anazeeka na moto wake bhnaaa, Msanii bora kwangu sichoki kusikiliza nyimbo zake
2026-05-28 04:05:10
6
user5045696141462
WEKA2WEKE :
hii Ngoma niliisikiliza karibia miezi miwili mfululizo
2026-05-23 14:46:01
6
thecarilas
The Carilas :
hapa diamond bado alikuwa ananyonya.The king ni king kiba
2026-05-25 16:25:23
5
zangibetovoodoo
Adnani Mkumbwa :
Hii ngoma 2003/2004
2026-06-09 09:12:42
1
kababayee5babayao
Kababayee Babayao :
😂😂💯king
2026-05-23 17:32:37
5
user1126977732319
abduly@090 :
kitambo hii sio poa tulienjoy sana bit kali
2026-06-02 13:38:53
3
luwongojr
MTWARA KID ✌️ :
Hii sio Hip Hop Hii ni Rap na zaman wasanii wote walikua wanafanya Rap Game, huu mpango wa kubana pua alikuja nao MB DOG, Bisha kwa hoja ✌️✌️✌️
2026-05-24 22:31:13
5
jay247695
JAY🌲🌲🌴 :
Uyo mdada sasaiv yupo wapi
2026-05-26 15:04:58
4
vicentchambo533
vicentchambo533 :
wadau ivi hiingoma Niya mwaka gan nisaidien
2026-05-25 17:23:10
2
msangamajr
msangama h m :
Yani king nikama CR7 anazeeka na Moto wake
2026-05-28 10:18:50
1
angelomastory
Angelo Mastory :
Kiba kabda ya kuimba alikuwa anachana,na aliemshauri aimbe ni blue
2026-05-27 13:30:12
4
mreno.501
mreno 501 :
mwak gn iyoooo
2026-05-24 03:20:47
4
rambo.john07
Rattle Snake :
alikiba uyu mwenye dredi
2026-05-25 13:41:33
0
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About