@fraverofficial: 🔥🔥🙌🙌 #fravercever #fraver

fraver official
fraver official
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 12:04:29 GMT
874986
57580
672
1219

Music

Download

Comments

salmahemed361
𝖘𝖆𝖑𝖒𝖆✨ :
mbn kama anataka kulia dada etu
2026-05-23 14:26:13
416
sonnyviral
Sonny :
nakupenda ila kuimba live bado sana
2026-05-23 14:39:25
217
consolatampandule
Consolata Mpandule :
I love you dada
2026-06-05 19:15:51
0
user7654885240763
user7654885240763irn :
swa dada xouh 🥰🥰🥰🥰
2026-05-24 08:56:03
0
ms_leah55
Official leah🥰😘 :
Kuimba live bado sana mwenetu😂😂 nimesahau kitu🤭 kuvaa pia bado😂 msichambe jaman nimeongea hivo kwa mtazamo wangu🥰
2026-05-24 09:42:45
54
demonte.khan
Demonte Khan :
Anafanyaga mazoezi kweli yakuimba😳😳
2026-05-23 18:09:24
42
_tunda._
Farhiya :
mnapenda kujifanya wajuajii....hapo alitoka kuimba ile nyimbi ya eeh mungu kama nina dhambi sana iangalie familia yangu akawa ameimba kwa hisia sana energy ishapungua....mnakaa ooh kuimba live bado kuimba live bado em kaangalieni interveiw yote ndo mje mumseme kwanza
2026-05-23 21:28:39
46
laurence.mfinanga
laurence mfinanga :
xouh 🥰🥰🥰
2026-05-24 04:07:27
2
regina.norbe.mmon
Sarah D🇨🇩🇹🇿🇰🇪🇭🇲🇨🇦 :
😂😂 niulizie na Cheka nini
2026-05-23 13:36:56
42
zabibuuledy595
grapes 🍇 :
hana energy yakuimba live
2026-05-23 18:04:09
26
last.prince87
last Prince :
upovizuri
2026-05-23 17:09:50
14
andrewkaijage4
captain kai🇹🇿 :
hii nyimbo kaimba kwa hisia kinoma kuna kitu nyuma ila inaonekana bado ex wako unampenda☺️
2026-05-23 22:14:20
11
broscan8
Broscan :
hatimae mpinzan wa zuch amepatikan🥰🥰
2026-05-24 08:03:38
6
poshynaxhy
🦋poshy naxhy🦋🍒💦💞 :
anatetemeka huyo sio kama hajui kuimba ila ni uoga 🤗
2026-05-26 06:29:05
7
pria6699
mis reeny :
🥰🤣nani alokwambyaaa🔥
2026-05-23 12:35:13
13
shakilaimba
Shakila Imba :
kuimba live Bado
2026-05-24 10:18:16
5
user1466295708134
Annie issah :
my favourite artist🥰🥰🥰🥰
2026-05-23 17:58:32
5
user509203677532
🌺Rose✨🌹 :
daah we dada Mungu akusaidie milele nakupenda sana jamani Kama na ww una mkubali like apo ❤️
2026-05-23 17:17:22
8
zayratkhamis_og0
Bibah Queen 👸🥰💃 :
Kuimba Live Sauti Yako Ni Mtihani Kweli Kweli Xouh Hii Sauti Hpn 🙌🙌😁😁😁😁😁😁😁
2026-05-23 19:11:27
6
rd.daughter
God's favorite :
10/10
2026-05-28 19:49:27
1
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About