@emanuel_walwa: Bonds za serikali na UTT Amis ndiyo suluhisho lako la pesa nyingi na za haraka. Kama umeuza hisa ukapata faida 10x zaidi basi wekeza government bonds kulinda pesa zako. Na wewe mfanyabiashara Hisa ni suluhisho lako la kuwekeza sababu una kipato cha uhakika kila mwezi. Pia elimu hii unaipata kwenye kitabu cha "Hisa, Akiba na Uwekezaji" kilichoandikwa na Emilian Busara. Jifunze zaidi kuhusu hisa. Pia kama unataka kukutana na wasomaji wa vitabu, waandishi na wachambuzi wa vitabu, basi Transformation Book Club ni chaguo lako. Tazama video nzima kupitia SCCULT Online TV. #Hisa #UTTBondFund #Bonds #PawaPod

Emanuel Walwa/Pawa Pod
Emanuel Walwa/Pawa Pod
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 12:44:40 GMT
36621
1506
15
223

Music

Download

Comments

mesoclemy
Messo 🥰 :
My mentor
2026-06-11 07:18:31
1
mushi.anitha
Mushi Anitha :
naomba kuelekezwa BOT bond
2026-05-25 06:03:30
1
atid1749
atid :
kitabu nakipataje
2026-05-23 15:44:06
1
leo.maxi4
Leo Maxi :
Ukiacha Hatifungani Fund (BOND FUND), je naweza wekeza ktk JIKIMU FUND? - Lengo langu ni kupata gawio kila baada ya miezi mitatu mitatu.
2026-05-24 05:30:48
2
suti_kalii
salomemishishi :
https://vt.tiktok.com/ZSx5tFqVc/
2026-05-23 18:51:32
1
moses0075
moses :
utaratibu wa kujiunga na hiyo club upoje
2026-05-23 19:24:38
2
sneva.kalipesa
Sneva Kalipesa :
kwsn hisa inanunyliwa mara ngsp kwa mwaka
2026-06-05 18:02:51
0
afyanimtajihakikishaunao
Elias na afya +255672700465 :
😁😁😁
2026-06-06 18:08:31
1
bintmbaph
Ayshacollection :
😳😳😳
2026-05-23 19:44:27
1
To see more videos from user @emanuel_walwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About