@ibraah_food_suplement: “Pombe inaweza kuonekana ya kawaida leo, lakini madhara yake huanza kimya kimya mwilini. Ini kuharibika, presha kupanda, usingizi mbaya na kupungua kwa nguvu za mwili ni baadhi tu ya athari zake. Je, unajali afya yako?” #Afya #Pombe #ElimuYaAfya #Lifestyle #HealthTips