@kassimmgangaa: Jana ilikuwa siku poa sana kwangu na kwa mashabiki zangu.. mapokezi ya wimbo wangu #nikiss😘 yamekuwa ya kipekee sana.Ahsanteni.. (hug) thanks @wasafifm for the exclusive👊🏾 #nikiss wimbo unapatikana kwenye digital platforms zote.. 🌍 |video ya #nikiss inapatikana #youtube | endelea kuenjoy mziki mzuri 🔥 #Mizikicontinue🏆
kassimmgangaa
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 16:21:26 GMT
Music
Download
Comments
simonsimwita :
Rumbaa iliyoenda shule Nakubali%
2026-05-24 09:29:18
16
Idda beauty saloon :
congo Kuna kofii Tz tuna kasimu mganga❤️
2026-05-24 19:27:42
16
saleh sharif attas :
amenenepea a kizembe
2026-05-27 10:38:31
2
Aniar :
2026-05-23 22:52:46
4
Hon.Joys Maria :
umekuwa wapi ndio urudi ukiwa moto hivi
2026-05-24 18:33:16
6
Mohamed Juma :
one of the best
2026-05-25 05:26:26
2
mamyto :
huna baya kaka Iko sawa 💃💃💃💃
2026-05-25 08:32:06
1
Mustafa Gombaeka :
miziki ya wakubwa 🫶
2026-05-24 17:23:41
1
saumumusa89 :
Hizi Sasa ndio wimbo tunayotaka
2026-05-24 20:15:51
1
Ziada Rachide Mussa :
mganga 🥰
2026-05-25 10:44:11
2
J,LEE :
Tuondoke🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-05-24 06:30:12
3
kindambamansoury :
uwakika broo
2026-05-24 14:01:09
3
Abby collection :
wachia tu download music tamu bhana
2026-05-24 09:30:32
4
Mariamu Mswaki :
vitu vyangu Kabisa
2026-05-25 05:10:45
3
Mrsdaniel :
Kassim unaweza bwana inabidi tufanye kolabo na koffi🔥🔥❤️❤️
2026-05-28 22:38:07
0
nuruisack481 :
Hatariiii hiiii Mambo yangu hayaa
2026-05-25 07:04:52
3
Khunayda Manjoti :
Tanga hatoki mjinga,hongera kaka Wadigo hoyeeeeee nimeipenda rhumba
2026-05-24 17:54:49
4
ramadhanidd899gmail.com2 :
Daah bonge moja la Rhumba!
2026-05-24 11:55:59
2
mtitu23🇨🇩 :
fundi you're back
2026-05-24 04:55:57
2
Magram Aljabry :
kassim imba nyimbo yangu nimetunga kwa AI kwa style yako
2026-05-25 09:52:55
2
Mjukuu wa dereva mkongwe🚛🚛🛣 :
mwenye mziki wake Sasa 😂😂🥰🥰👍
2026-05-25 10:41:03
1
New poison :
mafundi wanajieleza tu ukiskia saut hewalaaaa
2026-05-27 05:26:41
1
Ba kim :
Bonge rhumba💪
2026-05-24 06:23:37
1
To see more videos from user @kassimmgangaa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.