@sumqayit_mall: #keşfetteyizzz #fypシ゚ #1millionaudition

Sumqayit_mall
Sumqayit_mall
Open In TikTok:
Region: AZ
Saturday 23 May 2026 16:46:36 GMT
1596
11
3
3

Music

Download

Comments

gulnare19850
gülnare :
Salam bunan var sizdə
2026-05-30 04:14:49
0
To see more videos from user @sumqayit_mall, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Umechaguliwa kusoma Data Science & Artificial Intelligence lakini bado hujui umeingia kwenye nini hasa? 🤔 Kama una maswali kama: • Nitakuwa nasoma nini? • Lazima nijue Programming? • Mathematics itakuwa muhimu? • Python nitaitumia? • Data Science na AI vinafanya nini? • Baada ya degree hii naweza kuelekea wapi? • AI yenyewe itaathirije career yangu? • Na nianze kujifunza nini kabla au mwanzoni mwa degree? Video hii ni kwa ajili yako. Katika video hii tunaangalia Data Science & Artificial Intelligence kwa lugha rahisi, tukielezea unachoweza kukutana nacho kwenye safari hii, skills muhimu za kuanza kujenga, changamoto unazoweza kukutana nazo, na namna ya kujiandaa vizuri. Pia tutazungumzia umuhimu wa Programming, Mathematics, Statistics, Data Analysis, Machine Learning na Projects — pamoja na kwa nini degree pekee haitoshi bila kujenga practical skills. Kama umechaguliwa Data Science & AI, usiogope kama hujui Python au hujawahi kuandika code. Huna haja ya kuwa tayari kwa kila kitu kabla hujaanza; muhimu ni kujua pa kuanzia na kuwa tayari kujifunza. 📌 Kumbuka:  Hii ni video ya kukusaidia kuelewa field hii na kuanza safari yako, siyo uchambuzi kamili wa degree programme. Tutakuja kuichambua programme yenyewe kwa undani kwenye video nyingine. 💬 Kama umechaguliwa Data Science & AI, comment: “NIMECHAGULIWA DATA SCIENCE & AI” Na niambie kitu gani kinakupa hofu zaidi: Programming, Mathematics, AI, au kupata kazi baada ya graduation? 👉 Subscribe kwa Mohamed Hafidh Tz kwa video zaidi kuhusu Degree za Technology, IT, Computing, Digital Media na career guidance. Usiogope kuanza. Anza kujifunza. #fypシ #mohamedhafidh_tz #teknolojia #datascience #artificialintelligence

About