@mudraslim: ###### Kuna cha kujifunza hapo jamani coz naona tumejisahau sannna nikweli mkamilifu hakuna lkn daah maskari tujitathmini sanna zaid jamani 😢 tutakachokifanya chochote tujue mungu yupo na atatuhukumu chamsingi Allah atupe mwisho mwema inshaaallah