@edson.mabele: BATANI ON CROWN TV #viral_video #viraltiktok #viralvideo #viral

Edson Maziwa
Edson Maziwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 20:14:25 GMT
527687
28145
2165
1505

Music

Download

Comments

midekoh1
FEFE💫🤎 :
wanawake tunaojar sanaaa atunaga bahat na MAPENZI
2026-05-24 12:57:47
1133
mamtu_tz
Mamtu :
Ushajaribu kujipenda na kuacha muda ufanye kazi yake?
2026-05-24 05:14:44
1205
ma.happy810
🫰The Power of God🫰 :
Huyu dada ni mimi kabisa 😅😅😅😅 sina bahati ktk mapenzi
2026-05-24 10:56:11
393
charlz_unknown
CBM. :
jamaa nae mnafiki sana eti mmmmh
2026-05-24 13:48:45
201
itz.sherry_
Sherry Fadhil🤎🥥 :
nilijua pekeeangu kumbe kuna watu na wao wanapitia hii agh alhmdullh
2026-05-24 06:20:57
302
_wambi
Wambi :
Watu wanaotoa upendo sana mara nyingi hawapati wa kuwapa kile walichotoa… its okey to be a little bit selfish, its okey to choose yourself ❤️
2026-05-24 06:56:06
322
natashakyusa99
🦋….NATASHA♥️⚜️🔱 :
Yani nikama nimekutuma usimulie story yangu😭
2026-05-24 10:25:21
124
mugaiga_alex.575
CEO_R.👑 :
Mungu akupe mtu sahihi dada angu umeongea kwa hisia sana.🥲🙏
2026-05-24 04:58:29
365
mulkykhan
Gemini ♊️ :
Kama ni gemine 😁basi usishangae kwasbb 🥺Ndo tupo hivyo
2026-05-24 07:20:07
52
ryamtz123
ryam_closet :
Wanawake tunaojaribu sana kupenda kwa moyo wa kweli, kuvumilia, kusamehe na kujitoa kwa kila kitu… mara nyingi ndio tunaumia zaidi. Tunapambana kuhakikisha mahusiano yadumu, tunabeba maumivu kimya kimya, tunalia usiku bila mtu kujua, ila mwisho wa siku bahati ya mapenzi inakuwa kama haipo upande wetu. Unaweza kumpenda mtu kwa dhati kabisa, ukampa muda wako, moyo wako na uaminifu wako wote… lakini bado ukaachwa na majeraha ambayo hayaponi kirahisi. Inaumiza sana kuona mtu uliempa kila kitu anabadilika ghafla kana kwamba hukuwahi kuwa wa muhimu kwake.
2026-05-25 14:37:25
66
captain_food_
Babylon boy🤠 :
wanawake mtatuona wachoyo Kila siku mnaomba saana hela yaani mnaomba sana hela Yani mnaomba sana hela mnaomba sana hela
2026-05-24 13:42:31
27
paima052
Piama🌹✅️ :
wale wa damu group O mpoo,,,,uyu ni kama mimi tu🥰🥰🥰🥰
2026-05-26 07:49:02
19
ms.vee594
Vee~~Collection✨ :
Kumbe sio mim tu napitia hilo😭😭
2026-05-24 08:53:17
20
lizzy..mlay
💎.💦 :
Mungu ulinipa moyo wa upendo lakin mm sijawah kuoneshwa upendo wa dhat watu ni wabinafsi
2026-05-25 14:39:03
18
rocreen
Mirabella :
hii ndo situation nayopitia Kwa mda huu😭😭😭
2026-05-27 06:54:37
6
happyness.paul92
Happyness Paul :
duuh ni kama mm kabisa bahati sina😭😭
2026-05-27 20:38:38
5
jacobsumaia31gmai
[email protected] :
da nimelia nilikumbuka nilimkutana na mwanaume hana kitu akanunua vt nipo nae anaajiriw ananiona mm wa nn wakt nilichangia kununua vitu 😭😭 sema tusio na bahati sisi tunaitaji maombi ya urejesho sana kumwambia Mungu One day is coming of blessed 🙏 kwangu
2026-06-01 20:04:25
5
winnie26640
winnier 🤷‍♂️🤷‍♂️🥰🥰🥰👯‍♂️ :
nilijua ni me kumbe tuko wengi sana mpaka nikajua me nina kasoro
2026-05-29 09:28:33
7
sophia_hamad
SOPHIA HAMAD :
Too kind, you are too kind....
2026-05-24 10:19:40
31
itsvirelle12
Virelle 🌙 :
Huyo host sasa Mmmh Mmmmh Mmmmmh 🤣🤣
2026-05-24 12:58:51
38
fadhiliamos
Mwanaharamu :
watu wa karne hii hawataki uoneshe upendo nakujali ata kama unajali na kupenda
2026-05-24 06:20:21
90
jujuh..tz
jujuh :
mmmmmmh( mtangazaj😅)
2026-05-24 17:20:02
8
abdallahmsafari
Abdallah Msafari :
nilijua ni mimi tu 😭😭😭😭😭 kumbe wengine pia
2026-05-24 09:27:33
8
user1103295084622
Vero@ :
naelewa iyo situation nilipataga muhaya mmoja aaaah😭😭😭🙌
2026-05-26 14:37:39
15
being_gee2
Gee cute🦋🐾 :
mai situation adi nahis nimelogwa
2026-05-24 07:38:50
78
To see more videos from user @edson.mabele, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About