@amrisali_ifx: Uchangamfu ama Ukimya ni hali ya kila mtu na kila moja ina faida na hasara zake both positive ama negative. Kwangu ukimya ulikuwa na matokeo haya. Je kwa upande wako wewe ilikuwaje? Tuandikie kwenye comment section hapo chini na usisahau ku like na ku share na marafiki zaidi. Kuitazama Full video YouTube IntelligenceFx. As always Our MISSION IS TO IMPACT MILLIONS. #tradinforex#swahilitiktok #goviral

Amrisaly IFX
Amrisaly IFX
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 May 2026 22:32:32 GMT
192423
8687
350
208

Music

Download

Comments

benmussa27
Ben :
Unakichaa unadhani sifa
2026-05-24 08:15:42
123
cugalivinus.archa
Cugalivinus Archard :
Unaongea kama AI brather😂😅
2026-05-24 04:24:01
310
_teddyjames
Teddie_ :
Anaongea kwa Capital letters
2026-05-24 08:56:00
115
skindr6
dr. 何文 :
introverted behaviour
2026-05-24 10:33:49
25
taucsalmin
@tauc🦚 :
Nakujua una matatizo ya akili
2026-05-25 20:20:22
41
diplomaticmwanadi
Emmanuel Desire/ Diplomatic :
Group O hiyo.
2026-05-24 15:55:34
6
justinendanga
Justine Online :
napenda kusoma komenti kwa sababu ni sehemu ya kuongeza siku 😂😂😂
2026-05-24 06:50:13
21
anna.mcharo
Anna Mcharo :
endelea kukaa kimya brother 😅
2026-05-24 11:04:17
36
life_of_biggie
LIFe_oF_BIggIE :
kwani huyu ni AI?
2026-05-24 05:17:17
45
naly.rich
Nalyrich :
we n mzuri kusikiliza kuongea achana nako😅
2026-05-24 09:03:53
37
user2571342029610
trucker :
kwahyo umeanza lin kuongea
2026-05-26 20:26:10
8
fundifridgeaircondition1
Fundi Fridge & Ac :
mbona yupo kama AI
2026-05-24 01:55:00
29
ladyblazee4
ladyblazee :
upo kama mwanangu sema inafanya muonekane kama mnamapungufu ya akili😭
2026-05-24 09:23:58
37
ayatollar_rickshaby
RICKSHABY👑 :
na mimi ngoja niwe kimya niwe profitable 😁
2026-05-24 05:29:21
14
realmeech7
MeecH :
adi mimi nilikua yule mtu ambaye😂
2026-05-24 11:54:43
12
chuse360
Chuse 360 :
usonji huo
2026-05-26 02:10:05
10
sautiyandani3
Sauti ya ndani :
Hizi comment jamani🥺. Keep it up brother hatua moja huzalisha nyingine you will get better along the way 🥰
2026-05-25 04:32:05
5
reeny181
🦋_itsRee_!!✨✨ :
…Anaongea kwa Capital letters
2026-05-24 18:59:27
5
barbie.terry3
Barbie Terry💋🦋 :
Ata apo bado wapata shida 🥺
2026-05-24 05:53:02
10
nasdimwaya
nas :
Ausio mwanetu
2026-05-24 03:53:43
10
user4797484437817
Irene :
Unajiepushia na mengi sana
2026-05-24 05:27:50
9
ericklutabingwa
ericlutabingwa :
introvant
2026-05-24 04:24:10
8
frank.ernest8
Mr. G7 :
it's better to be silent
2026-05-24 06:09:47
10
broka_genius
Broka Discount Center :
Classmates
2026-05-24 06:11:31
5
12z095
Familia :
Jaman ni kweli namjua 😂😂
2026-05-24 05:31:54
5
To see more videos from user @amrisali_ifx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About