Karibu Siwani Ujenzi Dodoma 🏠
Sisi ni kampuni inayojihusisha na ujenzi wa nyumba na finishing za kisasa kwa ubora wa hali ya juu. Tunatoa huduma kuanzia msingi hadi nyumba kukamilika, tukizingatia uimara, uzuri na viwango bora vya ujenzi.
Tunawalenga wateja wa kawaida na wa kati wanaotaka nyumba bora kwa gharama nafuu na uaminifu wa hali ya juu.
Kwa huduma zetu, wasiliana nasi kupitia:
📞 0758486705
📞 0784154660
Siwani Ujenzi Dodoma — Tunajenga ndoto yako kuwa kweli.
2026-05-25 11:38:22
1
Yasinta Deogratius :
Emungu
2026-05-24 20:22:00
0
Hamis Salum :
naomba hii ramani
2026-05-29 15:20:07
0
Rehema Mpanda :
Ameeen🙏🙏
2026-05-25 15:11:54
0
Hulka Mgeni Hulka :
Chips na kuku ...😂😂
2026-05-25 17:33:38
0
matrona :
nawekeza
2026-05-25 09:06:18
0
INDIVIDUAL 301 :
majanga 👍
2026-05-25 13:31:40
0
user8859420877226 :
Maashaallah 👌♥️♥️
2026-05-25 12:12:44
0
Hamis Salum :
ina garimu shingapi hii
2026-05-29 15:20:48
0
Tina Mwampeta :
Majukumu yanabhana
2026-05-25 16:46:13
0
Mpopo_Electronics :
zipu😂
2026-05-25 14:09:21
0
bodzad5 :
dah swali gumu
2026-05-24 22:11:39
0
chodo Mc :
❤️❤️❤️
2026-05-24 17:35:54
0
tajili wa fikra :
🙏🙏🙏
2026-05-25 21:13:05
0
To see more videos from user @pasafi1interiordesigner, please go to the Tikwm
homepage.