@gupo_skillz: Hizi sio apps za kawaidaโฆ hizi ni hidden gems zinazofanya Android yako ionekane premium na kurahisisha maisha yako kila siku โก๐ ๐ NOTION โ Kwa kupanga notes, ideas, timetable, goals na kazi zako zote sehemu moja ๐ณ โ Perfect kwa students, creators na productivity lovers ๐ฅ ๐จ SNAPSEED โ Edit picha zako like a professional directly kwenye simu ๐ฎโ๐จ โ Color grading, blur, remove objects na aesthetic edits zote ndani yake ๐ธ โก NIAGARA LAUNCHER โ Hufanya home screen yako ionekane clean, minimal na fast sana ๐ โ Hakuna clutter ya apps kila sehemu ๐ญ๐ฅ ๐ LOCALSEND โ Tuma files kutoka simu kwenda PC au simu nyingine bila internet wala cables ๐ณ โ Fast kuliko Bluetooth na hakuna ads kabisa โก โโโโโโโโโโโโโโ ๐ฌ Ni app gani umeipenda zaidi? ๐ค Share na rafiki yako wa Android โค๏ธ Follow @Gupo skillz kwa rare Android apps zaidi kila siku ๐ฎโ๐จโก #androidapps #rareapps #swahilitech #androidtips #techtanzania