@amrisali_ifx: Je wewe una views gani kuhusu broker wako unayemtumia na unaweza mtofautisha vipi na wengine? Tuandikie kwenye comment section hapo chini na usisahau ku like na ku share na marafiki zaidi. Kuitazama Full video CLICK link kwenye Bio ama search YouTube IntelligenceFx. As always Our MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.💯 #tradinforex #swahilitiktok #goviral #tiktoktanzania #tiktokkenya

Amrisaly IFX
Amrisaly IFX
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 May 2026 15:00:00 GMT
49511
2248
46
59

Music

Download

Comments

functionfx
functionfx :
jamaa anaongea kama terms and conditions
2026-05-25 18:00:58
25
second9318
NASSERIAN :
Nimepoteza hela nyingi sijui hata nitamuhadisia nani!
2026-05-25 09:11:35
9
goldengbeauty
Golden G :
nataka kujifunza
2026-05-24 15:34:44
2
nice.nard
Skynie glam :
i want to buy gold
2026-06-03 19:36:12
0
krichstory
krich.dollars :
This video is fucking true 🔥🔥🔥🔥
2026-05-25 12:41:08
6
brigedier_konxhe
brigedier_konxhe :
Najichanga Sana Nije nianze course maana me ni empty sielew kitu kuhusu hiyo trade na najua ni lazima nitafanikiea
2026-05-26 11:53:52
2
aronspecial_technologies
ARONSPECIAL TECHNOLOGIES :
I'm in need of you bro
2026-05-27 21:48:43
0
ibrah2550
Ibrah :
Mimi hizi video na trading zinimenihamasisha sana nikaanza kujifunza kupitia YouTube google chat gpt angalau intro nimejua ila kinachonishinda ni analysis na namna yakupata entry ko kwa yeyote anaewiwa kufundisha Mungu atamuongezea kwakile alicho nacho
2026-05-26 05:30:20
1
bonge_26code
bonge_26code :
Broker gani mzuri
2026-05-31 14:50:36
0
kassimlimocrs846
KassimlimoCrs :
This is truly 💯
2026-05-24 17:01:12
4
cheebou__banks
cheebou__Banks :
puretrue
2026-05-25 11:36:18
0
khalid_rad4
KHALID _rad☢️📊📈 :
uhuru kwenye profim accounts
2026-05-24 21:21:17
3
user8439201716181
Ellyautor :
kam mimi mepotza
2026-05-28 11:52:01
0
frankoofx
Frankoo Fx :
Hata Propfirm ziko ivoo zote
2026-05-27 22:21:48
0
willbrezly
Christopher Ringo :
we mwenyewe n mmoja wapo
2026-05-26 19:54:36
0
bonheur_papa
Papa Bonheur :
AI au
2026-05-25 15:53:41
0
thedigit1
the digit :
vipi kuhusu prop firms ??
2026-05-25 04:37:33
0
mrtkaytrader1
MrTkay_Trader :
Bro umeingea ukweli wasio penda watu wengi💯
2026-05-24 15:25:42
10
baraka.peter36
Baraka peter :
mi tangu nime deposit sijawai ku withdraw
2026-05-24 15:16:24
1
hassanxungura
hassanxungura :
Sasa mtusaidie tuwajue hao mentors wanaotuona Sisi begeener Kama mtaji kwa brokers maaaan kuwatofautisha hatujui
2026-05-24 20:31:07
4
gentamicin34
慶大霉素 :
forex inayo fanywa na hedge funds & Big banks ni real forex na wana exchange real EUR & USD etc, But kwa retail tuna fanya gambling ya kupredict price kushuka au kupanda ukikosea umeliwa na broker, 😂😂,, kwanini usifanye kwa presha,, Bola kununua real stocks tu unanunua unachili hata bei ikishuka we huna presha itarudi tu na kupata hasara labda utake
2026-05-25 14:30:07
2
leo.maxi4
Leo Maxi :
Kupoteza kivipi ndugu, hata sielewi!
2026-05-27 17:23:47
0
prince_machiaveli
prince_machiaveli :
Sema bro yuko legit kama unataka maarifa sahihi amrisally is top,almost ifx members wanapata results
2026-05-26 21:36:57
0
To see more videos from user @amrisali_ifx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About