kama mitihani ni kupendwa na Allah,basi napendwa kama mtoto wa mwisho.ninamemgi yakusema Ila basi tu,Alhamdulillah
2026-05-24 22:56:22
43
Khadija Merisa :
nikweli kabisa nimekuwa mwema kwa watu ila kila moja kazi wanasema nina roho mbaya nimeumia sana nimelia sana cjaweza sahau ila nitamuomba mungu bila kukoma hata akinijb
2026-05-24 17:24:53
37
user6814692607172 :
Hakika ni ukweli 💯 mimi ni shuhuda sasa hivi watu wabay kwangu hawajifichi wanajionesha waziwazi tena ni ndugu zangu🙌
2026-05-25 10:06:01
20
African Queen bebz :
mungu atufanyie wepesi na mitihani🤲🤲🤲😔😔
2026-05-24 14:46:01
10
Prince Assad :
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯👍👍👍👍👍👍👍👍👍God bless you your very good person that’s true believe in God is everything 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-24 18:48:35
5
user6678186026673 :
jaman😭😭😭mm mung atupe mwish mwema tunayo pitia hii,shukran sheh mung akuhifadhi nakupend kw ajili ya allah jaan sheww mashalla mung akup maish maref unatup moy kam tunafunguk yaarabi alamina
2026-05-30 18:56:16
3
RJ :
walah uko sahihi
2026-05-24 15:51:57
7
sophia ♎️♥️💯❤️❤️❤️ :
alihamdullah🤲 mwaka huu nimepitia sana mitihani wallah mpka sshv cjakaa sawa wallah😭😭
2026-05-24 19:37:24
8
shariffu salumu :
kabisa sahihi
2026-05-24 16:47:24
5
user6966100004971 :
shekhe niukweli kabisaa
2026-05-25 10:27:06
2
user13409440557063 :
Mungu atujaalie mwisho mwema
2026-05-25 04:03:23
3
silla💚✨ :
kweli kabisa nimepata mitihani nimeona marafik na ndugu walivyo roho zao..wakati mimi nilijotolea kwa hali na mali
2026-05-26 20:20:32
2
Benga chatorn PaGe :
kweli kabisa ndgu zngu upande wa baba si watu wazuri
2026-05-26 22:32:43
2
Mariamu Mswaki :
nikweli wallah
2026-05-26 06:17:05
1
shyama :
hakika
2026-05-24 15:40:40
3
Rukaiyah :
sahihi,,,,ukweli kabisa
2026-05-30 08:59:59
1
wesiaseleman :
swadact shekhe wetu🥰
2026-05-30 16:43:14
1
userrashid084Rashid :
mashallah
2026-05-25 04:43:30
1
nyakunde :
ameeen 🙏🙏🙏
2026-05-25 05:53:11
1
kabebi :
very true
2026-05-29 00:00:48
1
user29228139100 :
Amin 🤲🤲🤲👍👍👍
2026-05-24 22:50:41
1
bebe menah💜🔐 :
Alhamdulilah 🤲
2026-05-24 15:53:33
2
Faiza Salim :
kweli kabisa
2026-05-24 17:12:21
2
maryuma nassser :
ALHAMDULLILLAH
2026-05-24 15:22:33
2
Samira rweza :
mashallah
2026-05-24 12:24:36
2
To see more videos from user @kide_tz_quotes, please go to the Tikwm
homepage.