Wacha hio kuna mie nilikuwa navua soksi zangu za shule natengeneza mpira wa rede nikirudi home either sina soksi kabisa au soksi chafuuuu na zimelegea kama tambi😂😅😁
2026-05-24 21:09:43
2272
Bella Ma Ndovu :
ila mm kutoka moyoni napenaga sana
lavuzi ya kichaga🥰🥰
2026-05-25 06:04:06
365
Stanslaus Robert :
kwanza michezo ya zaman unasikia mimi jambazi ww star nimateke ngumi
2026-05-25 08:31:38
1270
VIP kidy :
tulio kuwa tunaenda na vioo xhuleni na unajua kazi yake weka like
2026-05-25 18:36:42
686
idriss kibwan :
vita ya mawe ilikuwepo
2026-05-24 21:04:37
522
antonetaapolnary53 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mm niliwahi kwenda shule asubuhi nimevaa uniform safii nikarudi na kishimizi nimepoteza hadi uniform 🙌
2026-05-24 20:56:00
715
Vee-crochets🧶❤️ :
Tuma namba unywe soda mkuu😂❤️
2026-05-24 20:20:58
657
simba_aluminium🦺 :
nakumbuka nililud nyumban nimevunja mikono yote miwili an kam nimepata ajari sitasahau iyo mama alilia sana🤣
2026-05-25 06:42:08
246
PRICILLAH outfit :
Nimecheka adi mme wangu kazani nimemsamehe 😁😁😁😁
2026-05-24 20:51:35
228
itzmojay :
tuloangalia zaid ya mara moja gonga like
2026-05-24 21:47:27
233
Fau!💕 :
Nimecheka hadi nimekumbuka jambo 😂😂
2026-05-24 20:22:41
150
emmy :
We usinilenge 😂
2026-05-24 19:57:45
77
mbeq_Gk pablo :
Tiktok will make u forget u have whatapp messages to reply🥺😂😂😂
2026-05-28 07:33:48
9
🦋mrs Emma❣️❣️❣️ :
vita ya mawe ilikuw noma ety mandaz ya Mungu
2026-05-26 15:30:40
40
Tayone26 :
20/20 fast fast
2026-05-25 10:44:34
7
sheerow🦋💤 :
you can never predict your next scroll 😆😆😂
2026-05-28 19:29:32
5
rwambobrocker :
30 kwa 30
2026-05-25 07:22:11
9
Brey :
Daaah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
2026-05-25 11:16:25
5
Official princecy❤️ :
saivi hawajipikilishi hata😁🙌🙌
2026-06-05 10:41:50
6
user5001792034676 :
wale wa soksi za rede tu like hapa
2026-05-26 22:06:40
7
Mr somebody $$ :
niulize mimi hata Sina nywele hapa kwenye kisogo 😂😂sio kwa jiwe lile 😂
2026-05-25 21:27:30
39
favour_toto_store :
Mi mpka sahivi nna alama ya jiwe usoni 😂😂😂
2026-05-25 15:15:37
22
🦋 baby face 🌺😘 :
Acha nikupe like maan umenikumbusha mbali 😂😂😂
2026-05-26 20:39:34
11
Chodo 47🔥🔥💷💵 :
mlikuwa mnafilana
2026-05-24 19:14:47
63
Freddy :
umeongea kwa hisia sanaa broo 🤣🤣
2026-05-25 09:23:46
15
To see more videos from user @sparrow95.0, please go to the Tikwm
homepage.