@ufr_tz: Swahiba Sikilza muziki wa asili ya makabila mbalimbali kila jumapili saa 4:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana na Augustino Mtyangili.

Uyui FM Radio
Uyui FM Radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 May 2026 09:58:24 GMT
67457
2825
176
433

Music

Download

Comments

hajirashidi372
hajirashidi :
wanyamwezi tukutane hapa🥰
2026-05-25 04:00:22
76
jumat4522
haulelia :
asil yetu iyoooo wanatabora oyeeeeeeeeeeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-24 12:25:54
23
miss_sadia200
Miss_sadia 😘🤩🥰 :
napenda sana tabora yangu.
2026-05-25 07:17:27
9
hawasaleh37
saya cute❤❤🙈🙈🇹🇿.......... :
henaho ha mirambo huwammanya san 🥰🥰
2026-05-26 17:26:13
1
kitambi1
Masoud Kitambi :
safi sana hv ndio vitu vya kuoromoti Sasa
2026-05-24 19:27:19
10
angeledwin500
Angel Edwin :
Tabora oyeeee
2026-05-24 20:26:18
6
khadija.haroon61
Khadija Haroon :
Naipenda saaana Tabora yangu mambo hayoooo
2026-05-25 09:46:08
5
mwahisu04
Mam Og :
uwiiiiiì asante tuwakilishe babaaaa 🥰🥰🥰🥰🥰 wana taboraaaa tujuane uku
2026-05-25 09:19:46
8
tinebety
Bety 💞 :
afazal leo nmewaona ndugu Zang 🥰
2026-05-25 13:12:39
7
gee65416
Gee😍💞 :
Jamani Nimefurahi Sana Bibiangu Alikuwa Anatuimbia Wajukuu Zake Wanyamwezi Hoyee🥰🥰
2026-05-26 07:39:20
6
user8873808836943
tatuiddy :
wanyamwezi wenzangu tujuane🥰🥰🥰
2026-05-25 18:56:30
5
adam.seleman82334
@adam82334 :
Tujuwane
2026-05-26 18:39:53
0
salma.mustafa769
Salma Mustafa :
unyamwezi mwingi🥰🥰👌
2026-05-24 20:47:18
9
elizabethwilliam70
lizy :
kwetu pazur🤝🥰🥰
2026-05-25 08:01:31
7
mamuu486
mamuu 🌹🌹 :
mashallah 🥰🥰🥰mpaka mwili umesisimka🥰🥰🥰
2026-05-25 05:25:21
6
ummysameer5
ummysameer@ :
tabor moja hiyo dah mpka nimemiss home🥰🥰🥰
2026-05-25 11:14:26
5
michael.from.bne
Michael from bne :
nyimbo inaitwaje
2026-05-25 08:24:44
5
leonardshigalu
Leonard Shigalu . :
ya kwandizya milimo 🙌🙌🙌🙌
2026-05-24 19:36:42
6
zuwena.maziku
Zuwena maziku :
Nimekumbuka nyumbani
2026-05-26 05:40:58
1
nicodemmabala
Nicodem Mabala :
Hadi rahaaa
2026-05-25 15:55:07
4
twendesafariwithmbasha
twende_safari_with_mbasha :
Kama kuna mtu anajua napataje audio za mzee mwinamira
2026-05-26 06:28:35
4
rehemabakari460
Rehema Bakari460 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰l love you Tabora
2026-05-25 14:18:42
4
rajeshy33
sudi :
kaka tupostie nyimbo za mwinamila mwenyewe.
2026-05-25 09:22:58
3
sofa_village_kigamboni
Sofa Village Kigamboni :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nimepamiss home
2026-05-25 12:46:53
4
hassanmshep
hassan🇹🇿tz :
TABORA
2026-05-26 13:48:08
1
To see more videos from user @ufr_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About