@the.syntrix.nuru: Watu wengi wanataka maisha tofauti… lakini wanaendelea na mfumo uleule wa maisha. Wanaamka na simu. Wanalala na simu. Akili zao zimejaa noise muda wote. Ndiyo maana focus imekuwa rare. Discipline sio motivation. Ni mfumo wa maisha unaojirudia kila siku. Ukidhibiti: • akili yako • asubuhi yako • mazingira yako • na habits zako Maisha yako yataanza kubadilika taratibu. Mafanikio mengi hayaji kwa hatua kubwa za ghafla. Huanzia kwenye: • routines ndogo • consistency • na self-control ya kila siku 📌 Save hii post. 📲 Share na mtu anayehitaji kurudisha focus yake. @the_syntrixi #discipline #mindset #selfgrowth #focus #successhabits

The Syntrix | Nuru ya Fikra
The Syntrix | Nuru ya Fikra
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 May 2026 10:06:52 GMT
64696
1728
20
200

Music

Download

Comments

kim.techinician
kim.tech :
fact kabusa
2026-05-25 17:58:31
1
the_khuzwayo
The_Khuzwayo :
that's Good
2026-05-25 16:26:56
0
joelelieza
joelelieza :
respect
2026-05-24 20:39:00
0
husler.dar.cracso
C.A.S.T.R.O.🇿🇦 :
💪🏿 game changer
2026-05-25 16:09:41
0
genda.45
Rama genda :
Akili kubwa✊️
2026-05-25 18:19:10
0
simel.paul.254
simel paul 254 :
respect
2026-05-25 19:36:59
0
deojeremiah
Deo Jeremiah :
uwishi sana dady
2026-05-25 07:18:11
1
ramek.burugu
Ramek Burugu :
jakika🥰🥰🥰
2026-06-18 15:48:29
0
andre.respect.mantz
André young gen z 🔥 :
Amini
2026-05-26 11:53:18
0
mohamedyabbasi
mwinyi mbuguni :
amen
2026-06-01 19:48:02
0
mecca94996
Mecca94 :
ni kweli
2026-05-25 17:14:21
0
moudydullah
kashokaze :
àmaizng
2026-05-25 14:46:36
0
damas.chocho
Damas Chocho :
kweli
2026-05-25 15:08:23
0
dontspyme460
DON'T SPY ME :
respect
2026-05-24 10:20:10
2
gingboy002
ging boy002 :
cheche familia
2026-05-24 12:54:35
1
the.despot.boy8
THE DESPOT BOY :
🥰🥰🥰
2026-05-25 20:34:23
0
017kushgang
10Lilkush :
2026-05-25 11:19:23
0
kelvinkhan049
🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩🇦🇲 :
🤝🤝🤝
2026-05-25 04:50:06
0
mkitoalex
mk🛠 0utomotive :
💪
2026-05-24 16:31:34
0
halfan.kiguga
Halfan Kiguga :
😳😳😳
2026-05-25 17:53:18
0
To see more videos from user @the.syntrix.nuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About