@pals.cravings: Mkate wa bwanaa soft🤤 INGRIDIENTS •Ngano kilo na robo •Samli robo ya •robo( vijiko tano) •Chumvi robo kijiko •Sukari vijiko sita •Baking powder kijiko moja •Yai moja •Maziwa kikombe moja •Maji vikombe mbili •Hamira kijiko moja **Paste ni ya tabaki samli pekee