@alzenjbarytechnology: 📱 Watu wengi wanaamini ukipokea simu ya namba mpya unaweza kupoteza sehemu za siri… 😳 lakini ukweli ni huu! Hakuna technology ya simu inayoweza kuathiri mwili wa binadamu kupitia kupokea call. 📡 Simu hutumia mawimbi ya redio kubeba sauti tu, si nguvu za kubadilisha au kuharibu viungo vya mwili. ⚠️ Hatari halisi ipo kwenye: • Utapeli wa simu • Kuombwa OTP au password • Links fake (phishing) • Social engineering 👉 Simu haiwezi kukuathiri kimwili, lakini inaweza kukuathiri kifedha kama ukidanganywa. #Technology #Simu #MythVsUkweli #ScamAlert #DigitalSafety

alzenjbarytechnology
alzenjbarytechnology
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 May 2026 14:29:16 GMT
3606
200
4
3

Music

Download

Comments

msela.mselanunda
Msela Mselanunda :
Uhakika mkuu
2026-05-25 03:07:45
0
abdulihamid60
Abduli hamid 🥀 :
ukipigiwa simu namba kuja bila ya kuwa na 0 inakuwaje hii mkuu tafazli
2026-05-24 19:38:49
0
hamzaally50
Hk 17 :
😳😳😳
2026-05-24 15:57:43
0
isayshadrack
shadrack isaya :
😁
2026-05-24 15:59:13
0
To see more videos from user @alzenjbarytechnology, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About