paten aliwah kusema yeye alikuwa avalishwi nguo nzuri kwenye interview sema naona kwel
2026-07-11 15:24:50
11
Dogo man Tz. :
na mimi nipo jamn natoka mologoro
2026-05-26 15:03:31
24
Avoo_arts :
si ungesema kisa heeeeeeeeeeee😭
2026-05-25 06:16:17
28
kalai 2 :
umoja ni nguvu mngiwa wote mpaka sas mngefika mbali sana
2026-07-11 18:49:00
2
Damascus kondeboy :
@Brilly_official:Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi sina la kusema asanteni sana
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
2026-05-24 20:02:07
21
geeh4826❣️ :
Ila patteni unajua 🥰
2026-05-27 16:39:27
17
B.BOY.RASTA 👊 :
mwanangu sajenti
2026-05-25 17:07:38
16
Issa dax :
Daaah maisha tunatoka mbali
2026-05-25 06:06:18
19
@king power 🔋 :
ila anajua 🤣
2026-07-06 19:36:39
4
missdollar50 :
Patteni anajua🥰🥰🥰
2026-05-27 18:29:04
9
user4621835420012 :
patten
2026-06-10 18:34:33
8
nimbujababy :
apa paten ndo alikuwa amebalekhe sio 😂
2026-05-29 22:08:41
8
Alii Omar :
Nilmpatiaaaaaaaaaaaaaaqaaaaas
2026-05-26 19:21:57
5
layaligal cute :
jamni paten
2026-06-05 22:30:27
6
user7450777514022 :
namkubali sana paten na sajent asante
2026-06-18 20:24:48
2
can jay tz :
hapo bado
2026-06-02 13:13:29
2
Ishani♥️ :
anhaa hii siku nakumbuka ilikuwa mtaani hapa duuuh😂😂😂
2026-05-26 06:15:54
5
Ramashaboy 🦣🇹🇿 :
ila mwanangu pateni
jamaniiii 😂
2026-05-25 19:26:09
7
Mussa Chitwanga :
umetishaa ap00 paten
2026-05-26 06:18:45
5
braminboih :
Nmeteswa na mapenzi hadi hiyo ngoma ya pili sai ndio wimbo napenda kabisa maana naumia moyo sana 😢 💔💔
2026-06-08 23:36:57
2
agu stinho :
nawakubalii sajent paten
2026-05-29 22:07:08
4
jack beauty💕💕 :
mmmmh umetoka mbali
2026-05-27 09:21:16
1
JONAS :
nyote mnajua
2026-07-11 11:47:52
0
To see more videos from user @big_jaiva26, please go to the Tikwm
homepage.