@iswahiliworld: Hakimiliki: Rashid Chilumba, Instagram (@rchilumba). —————— Cologne, mji ulionyimwa hadhi ya kuwa mji mkuu wa jimbo la North Rhine Westphalia, magharibi mwa Ujerumani lakini ukajitangaza wenyewe kwa historia yake na hekaheka za wakaazi wake. Kila kipembe cha mji wa Cologne ni alama ya historia ama starehe.

iswahiliworld
iswahiliworld
Open In TikTok:
Region: OM
Sunday 24 May 2026 19:08:59 GMT
17224
1456
58
75

Music

Download

Comments

zalala22_
ZALALA :
nisiwe muongo unaniinspire sana kuitembelea dunia bro🙏🙏🙏 I’ll travel the World 🌎 trust Me
2026-05-24 19:21:53
14
rosejohn382
rj :
😂nimeona ndugu zangu Waluguru wanapita na ngoma hapo kaka😂🥰
2026-05-29 04:38:33
1
iddiali92
iddiali92 :
Unatangaza vzr sana bro I wish nipate fursa ya kutembelea dunia Inn Shaa Allah
2026-05-26 11:10:41
1
userdracula03
awilo ke✅ :
Wau my guy absolutely i have enjoyed this episode
2026-05-28 19:24:39
1
user4339897978957
maximum :
yaani kijana nakupa big up hongera sana allah bless you endelea kutupa elimu
2026-05-25 04:42:35
4
numericalpillarvi
victorynumerical :
Tafadhali fungua video yako tuweze kusafe kuwahamasisha wengine. naomba tu ahsante mimi nakufuatilia sana
2026-06-15 20:34:48
0
masai4357
kazamoyo,,number, one 🇹🇿🇹🇿 :
safi Sana 🙏🇹🇿♥️
2026-05-24 21:17:19
1
hope_treasur3s
anonymous🪐 :
Cologne cathedral is such ginormous
2026-05-26 11:45:44
1
christianjiyumba
Chris Jiyumba :
Leo nimeipenda sana historia ya colon umeelezea vzr hiyo makala🙌🙌
2026-06-08 10:54:33
0
rphod1
👻 :
nakufuatilia Sana habari zako from Zanzibar
2026-05-25 18:20:19
1
herr.dienstag
Herr Dienstag :
Maelezo yako yanatamanisha sana, natamaani kabisa kutembelea Cologne .
2026-05-25 11:23:21
1
onesmo.geraz
onesmo geraz :
ffggy
2026-05-25 09:17:28
1
iddi2221
Iddi :
big up brother mungu akupe umri mrefu 🙏🙏🙏
2026-05-28 08:18:06
1
gervasgreodiannac
Gervas Greodian :
hongera kwa utalihi
2026-05-30 17:38:54
0
denning.lj.master
Denning, LJ. :
Moja ya mji Ujerumani wenye ubaguzi sana.
2026-05-26 19:54:02
1
msabahmutik
Abdul Mutik :
we jamaa salutes 🫡. unafanya kazi nzuri sana, ubarikiwe
2026-05-25 10:09:27
1
kennypixels
Kennypixels :
Huu mji wana vaa sana bukta aiseeee🙌🏼🙌🏼
2026-05-26 13:33:24
1
user80539786605990
spedro :
KAZI safi tunatembea👍👍
2026-05-25 17:04:22
0
godymweusi1
He is godÿ :
napenda sana unavyotuonesha dunia ilivyo especially nje ya Africa 🌍... Keep pushing brother
2026-06-04 04:31:17
0
user8314950133379
boka wamandara :
namm nakujuw uraya kuptia ww kk
2026-05-29 12:00:45
0
theconquor_
user24760445177 :
Ahsante sana
2026-06-04 15:05:03
0
akwilina.mbaza1
Akwilina mbaza :
nimefika ni mji msafii saana
2026-06-16 04:06:27
0
larrykingx1
user43808434851 :
Wewe ni baadhi ya watangazaji wachache wanao zungumza kiswahili mufti,si kama idhaa zetu za kisasa wanaotuchosha na kutuchusha kwa ubovu wao.
2026-06-04 11:56:01
0
boscojaphet
Japhet :
Sawa
2026-06-02 11:44:32
0
hassanalmutwafi
Abu Midhat :
mashaAllah masjid
2026-05-25 17:38:46
0
To see more videos from user @iswahiliworld, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About