@afyauzazitz: #creatorsearchinsights Mambo 4 mwenza/baba mtoto unatakiwa kuzingatia kipindi mwanamke ni mjawazito #afyauzazitz #zanzibar #tanzania #mimba
ukiwa na mimba kila uki srooo simu ni maswala ya wajawazitooo mmmh 😂🙌
2026-07-22 18:10:09
81
Sophia kituku wa mkwawa :
mimi kunamuda natamani kupigana na mme wangu bila sababu tyu ila mimba 😅😅😅 mungu saidia wajawazito wote tanzania na inje.ya tanzania wote tuseme emeni 🙏🙏
2026-05-25 11:58:38
211
In God We Trust✍️🙏 :
Dr Nina Swali Mbona Kila Muda Nalia Ovyo Ovyo 🥺
2026-05-25 21:14:42
29
better :
asanteee
2026-08-18 04:41:24
0
user2313059545697 :
are u single?🥰
2026-05-25 08:11:21
12
mwarabu fighter 💪 ❤️🫶🔏 :
yani sina amani kaka kwemye hiki kipindi, namuomba sana mungu anipe uvumilivu🤲🤲
2026-05-25 19:56:38
12
rukhal_og :
😭😭😭sijui kwa nn nalia
2026-05-25 18:26:48
11
s💗h💗i💗i💗 :
Next time go straight to the point boss
2026-05-26 15:51:20
9
KPM TV :
mama watoto asione hii uwiii madeko yatazidi☺️
2026-05-25 23:09:13
33
vice23 :
kama mm mke wangu ana mimba ila kila nikingia tiktok nakutana na vedioo za mimba daaah
2026-08-15 12:18:21
4
MOME COLLECTION :
naomba tudownload🥰🥰
2026-05-25 09:05:47
7
thureiya 🥰 :
kwanza Allah akubark my brother alafu hii video naisev ikae kweny simu ili huy kiumbe Wang aione
2026-07-19 19:22:02
4
officialgee. 68 :
Kwa kweli mm natapikaa najisikia vbya yaani hata kula nashindwa yaani hii hali so poaa jamami
2026-07-21 10:20:11
3
Diana Kikoti :
nashukulu MUNGU mumewangu muelewa sana yaan hadi namuonea uhuma anajitoa hatar
2026-06-02 15:28:40
7
Vicent Kagambo :
Doctor unavuta saaana manenoo..chap basiii
2026-06-23 13:35:16
4
michael :
ahsante sana doctor umetoa elimu zuri sana
2026-05-25 23:12:17
6
ruth pallang :
mungu niepushe na mimba zenye dhalau nimpende kila mtu niishi maisha ya kawaida
2026-05-28 06:43:40
7
charming girly :
ni like nirud
2026-05-25 11:47:14
9
Binti_Waridi :
umeongea pwenty kaka
2026-07-21 11:03:37
2
etoilemapenzi :
Merci
2026-06-07 23:25:08
2
kansime florence :
nikweli kabisa
2026-06-22 14:51:20
2
Mwalusesile😂😂😂😂 :
2026-06-12 19:43:00
2
sirivesta pitaigonzea :
je nikifanya hayo mimba itatoka ama
2026-08-01 16:31:55
2
To see more videos from user @afyauzazitz, please go to the Tikwm
homepage.