sio wote wana uwezo wa kushauri ivii.
Mungu azidi kukubariki broh
2026-05-25 06:52:44
231
msigwa njombe :
we jamaa mchaga wako anakupa stress sio bure
2026-05-25 06:47:01
89
Gilbert :
MUNGU naomba nibariki nipe njia ya mafanikio
usisahau na huyu msoma comment🙏🙏
2026-05-25 18:08:21
44
vee cute :
Nikwambie kitu unaimani kubwa sana na umeruhusu MUNGU kuishi ndani yako hiyo hali hata me kuna muda na mm inanitokea nalia tu sasa linapokuja swala la MUNGU au la maisha na namna MUNGU anavyo fanya kwenye maisha yangu, barikiwa sana kaka🙏🙌🙌🙌
2026-05-25 19:03:41
25
GOLDEN🇹🇿 :
Amina Baba ubarikiwe pia
2026-05-25 06:26:07
14
ally fundi umeme :
💪💪💪kila atua dua tuu mwanafamilia mwenzetu
2026-05-25 06:24:06
18
Miss_jaclyn :
Leo nimelia pia
2026-05-25 15:54:29
5
ferrous🦋🦋🧿 :
Amin amin🤲🤲
2026-05-25 07:07:46
5
@pizzlo👅 :
barikiwaa kaka
2026-05-25 06:38:39
6
JustW🕸️ :
That's true bro🥹
2026-05-25 06:19:48
5
Japhet black king :
Mungu yupo na ana nguvu
2026-05-25 07:15:20
5
nice ,👌mangi :
mm naombeni kaz jmn kwaanae nafasi yoyote yakazi naombeni jmn
2026-05-25 20:22:56
5
$clinton🧘 :
Kuna mdah tunacheka ila maumivu yaliyopo moyoni ni Mungu pekee ndio anajuah ... 😢😢🙏
2026-05-25 08:34:14
6
Captain Nemes :
Amen
2026-05-25 07:09:51
5
S.R_cosmetic solution :
Mhubiri 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
umeubir hapa ili neno likaja ni kwel never give up mtumish 🙏🙏🙏 Asante kwa moyo mku🙏🙏🙏
2026-05-26 03:10:10
6
Babu wa Tanga :
Kweli ndogo wangu
2026-05-25 06:46:06
7
Official-Imma tz 🫰💰🙏 :
Amina🙏🙏🙏🙏
2026-05-25 06:49:01
5
manka :
Mungu akubariki tajiri tumekata tamaa wengi ila umetutia moyo tajir
2026-05-25 06:42:15
5
MAMA T VIJORA K/KOO :
Unanipa moyo mungu wangu anipe nguvu jaman
2026-05-25 08:14:23
5
Apostle Maglan Ministries :
Mungu akubariki sana kwa moyo wa unyenyekevu na kwakumbuka mahali Mungu amekutoa kutoka kupiga picha! na namna Mungu alivyokuinuaa! na kwakuwatia wengine moyo na kuwambia kwamba Mungu ndiye kila kitu.
2026-05-25 21:04:12
6
@MR C.E.O🦅🦅 :
Kaka nikopeshe Gari nitalipa kwa mwezi naomba 🤔
2026-05-25 15:32:56
8
AFYA NA WATU WAZIMA :
exactly 💯
2026-05-25 06:18:55
5
Maisy🌸 :
Amina
2026-05-27 19:06:57
0
kainkomba :
amina
2026-05-27 13:09:42
0
To see more videos from user @bingwawamagariused, please go to the Tikwm
homepage.