@godlinah2: Haya nimaombi yangu juu ya baba zangu na kaka zangu wote Kira kilichofungwa kwaajili ya yakaz yako kikafunguliwe sas katika jina la yesu Ameni 🙏🙏🙏

Godlinah
Godlinah
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 25 May 2026 06:49:45 GMT
339720
38202
4760
2988

Music

Download

Comments

meshackkitomary80
Meshack Kitomary :
amen mtumish
2026-07-19 04:02:39
0
emanuelmollil
gallery :
vintage 👍♥️🎤🏃🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🙏
2026-07-18 08:12:44
0
william128609
William@12 :
Ameen mdogo wangu Hadi na Mimi nimeomba
2026-05-25 19:33:49
125
bayyopascal
bayyopascal :
naomba Mungu akutangulie katika kila unachokifanya maishani mwako pia kielimu ufike mbali 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-17 16:16:20
2
255african
African :
mungu akusaidie mdogo wangu ufkembal kiimani
2026-05-25 15:31:10
39
manaomi1
Irene ❤ :
Leo naona comment nizawanaume Tu Mwenyezi MUNGU Awabariki 🙏
2026-05-27 18:50:19
23
user2031833551420
Nelton Nalianya :
amen ,many people can see you kidd but umenikusa sana
2026-05-25 19:11:09
7
you.tin45
You Tin45 :
Mungu aendelee kukupa kibali mdogo wang,umefany niungane na wewe kwenye maomb haya🙏🙏
2026-06-14 19:41:57
6
japhet255jp
japhet255jp :
mungu aendelee kukuona mdogo wetu utuombee
2026-06-15 21:55:56
2
the.god.wine.97
The God wine 97 :
Amen mtumishi wa mungu
2026-06-09 01:13:59
2
evath.boy2026.kipa
Evath Boy2026 kipaji :
MUNGU AKUBARIKI MDOGO WANGUU AMEEN ❤️
2026-05-26 14:53:12
5
angel.bandiko
Angel Bandiko :
Mungu huyo unae muomba usje muacha kamwe maana hakuna Rafik alie mfano wake, nimekupenda buree
2026-05-25 07:10:30
24
user2481503318172
akujose djado :
mungu asikiye maombi yako
2026-05-26 04:55:41
15
user65261308125055
adam :
mngu bariki kibali chake na umlinde aje aponye na wengine🥰🥰amen
2026-05-26 07:57:49
5
surveyorkandie
Surveyor Kandie🇯🇲 :
unapoomba hivi mwanangu unanipa moyo WA kupambana....wanangu hamtakosa wala kuhangaika....mungu ajibu maombi haya yajibiwe kwa Jina la yesu.Amen🙏🏽
2026-05-26 18:40:04
12
mr.gearbox.dafman
Mr gearbox Daf,Man,iveco,Benz :
Amen mtoto mzur Asante Kwa maombi i Mungu akutunze
2026-05-26 18:39:48
7
lebiany.mwalulomo
lebiany mwalulomo :
kwakwel we dad mungu akusikie
2026-05-26 07:12:01
5
suddy.mhanga
suddy mhanga :
kiwa mtoto kama huyo anaomba maombi kamahayo kuna wanawke sasa mhh🥰🥰🥰🥰 MUNGU akulinde
2026-05-25 19:03:04
8
ombeni.kaposo
ombeni kaposo :
amen mungu akuongezeye myaka 50 mutoto yetu
2026-05-25 18:49:50
7
gneiss.rock
gneiss rock :
eeee mungu wangu tulindie huyu anatujali kuliko mama zao
2026-05-25 18:18:03
9
abraham001agutu
Abraham 001 Agutu :
Hallujah 🙏 Ameeeen 🙏
2026-05-27 12:20:47
3
user2469749551304
Emmanuel Ahungu :
🙏🙏🙏🙏 mungu akutie nguvu mdogo wangu
2026-07-06 23:00:29
2
brighton.zacharia
Brighton Zacharia :
amina dada mungu akupe maisha malefu
2026-07-02 17:40:43
2
john.suto3
John suto :
Amina Mungu akulinde mwana wa Mungu
2026-06-30 04:58:45
2
To see more videos from user @godlinah2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About