@_awery: MEDITATION IS THE KEY📌

_Awery
_Awery
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 25 May 2026 07:58:58 GMT
13867
1343
56
66

Music

Download

Comments

kelvin.cleverl
£lv!ň Ĉl£v£rl :
kwa sasa nimeacha bangi japo hujasema bangi ila ilinifanya niwe mtu wa kukaa pekeangu na pia nilikua nasikia saut yang ya ndani in real kuna video yako ulikua umeanz kusem kam yna dalil hiz ujue upo kweny safari ya kuamka kiroh ukaelez jins mtu anavyopitia ndipo nilipoanza kujua nipo in awekned kwa sas nimeachilia watu wengi na maumivu ya inner chird nimefungua all chakras na nina maish mazur ninapata kila ninachokitaka najua jinsi ya kumanifest na mengin mengi naendelea kujifunza kupitia universe
2026-05-25 19:00:20
13
user210720032
Iseeyou🙂 :
Mimi ni mtu ambae sisumbuliwagi na depression wala anxiety nilishamalizana nayo kitambo nikaanza upya ever since nakuaga na amani sana. Mimi ni mtu ambae sinaga mda wa kumeditate au kureason vitu sana i just live. Hizi siku za karibuni kila nikikaa mawazo yanakuja kichwani yale nakumbuka vile vitu vibaya nilivyofanyiwa, au vitu ambayo vilinitokea vibaya due to uzembe wangu hence nauliza, is this my message to take time to meditation?
2026-05-25 08:57:34
5
jwitodone
Jane mshindi :
Dada habari,nilifanya meditation ya kioo na kuangalia k yangu nikaanza kublidi palepale na sasa ni mwezi haijakata,nifanyeje?
2026-05-26 13:11:33
0
subiraeli
subr🇹🇿 :
najiribu hakika ♥️
2026-06-14 17:23:36
1
madam.ramona
Madam Ramona :
Mimi nikianza tuu nasinzia hii ikoje...na mwisho wake najikuta nalala kabisa
2026-05-26 09:41:20
4
user57369058057063
Rish lyrics :
AHSANTE MWALIMU
2026-05-25 16:10:02
1
beautymimi42
beauty Mimi :
Asante mtoto mzuri
2026-05-26 03:22:23
1
salvina_111
salvina_111 :
Na mimi ninaelala nikifanya meditation je?
2026-05-26 06:19:56
1
biaminabakari369
Kipenzi cha Mizimu ❤🙏 :
Asante mwalimu 🥰
2026-05-25 17:35:53
1
rahma.masanja
Rahma Masanja :
kuna kitu nataman kuongea na ww dada
2026-05-25 08:10:33
2
mamaafrika_verhalen
mamaafrika_verhalen :
natakiwa kufanya meditation Kila siku?
2026-05-25 16:02:45
1
jcarl366
carljetha :
asante kwa majibu 🙏 unaelezea vizuri sana
2026-05-26 15:45:02
1
onlynaikely
My girl❤️ :
mm ndoto na hisia🙌 huwag mara nying kweli
2026-05-25 16:22:07
2
asiamwambene
Asia Mwambene :
umeeleweka kipenz 🥰🥰🥰
2026-05-25 08:17:03
1
minah.de.babe
𝒂𝒖𝒓𝒂✨♏ :
Mimi napitiwa na usingizi ñikitaka kumeditate😩
2026-05-25 11:26:32
2
codekiller6
Codekiller :
nauliza rose water yanakaz gan jaman naomben mnijibu
2026-05-25 18:29:54
1
ummy26.1
Ummy salim :
Bei gani
2026-05-25 08:27:32
1
kelvin.cleverl
£lv!ň Ĉl£v£rl :
ila nilitambua universe iliniletea video zako ili niweze kujua nilipo sabab kila video niliyokua naiyona ndio ilivyokua situation ninayopitia mpaka kuja kumfahamu mungu wa kweli niligharamia kwa maumivu yenye furaha ndani yake🥰🥰
2026-05-25 19:04:48
1
teresia1491
Teresia :
Mimi nakuupendaga
2026-05-29 00:29:39
0
solisticekanuve18
Solistice Kanuve :
Napenda sana meditation
2026-05-28 11:20:08
0
user3130180258249
user3130180258249 :
jmn kama mimi yani mambo yanaingiliana sana mpk nachanganyikiwa nasikiliza lipi
2026-06-21 03:50:59
0
iamthatiam367
I am that I am -IamMados. :
uwezi tumia bhangu swali tu??
2026-06-14 14:43:24
0
mfalmekinya
kingkinya :
unayo HARITAKI?
2026-06-09 19:12:51
0
mouhamadtarcki267
Mouhamadtarcki26 :
ok leo na me ntajaribu bahna😅
2026-06-03 18:35:19
0
slaywithrenie
Slay with Irene :
Thank Madame 🥰
2026-05-25 12:40:56
0
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About