@adv.witness: Under the Personal Data Protection Act, posting someone’s image on a business page without proper consent may amount to unlawful processing of personal data. In Complaint No. PDPC/CMP/002/2025, the Respondent was ordered to pay TZS 20,000,000 as general damages, fined TZS 5,000,000 by the Commission, and directed to delete all posted photos within 14 days. // Chini ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, kuposti picha ya mtu kwenye ukurasa wa biashara bila ridhaa sahihi kunaweza kuwa matumizi yasiyo halali ya taarifa binafsi. Katika Complaint No. PDPC/CMP/002/2025, mshtakiwa aliamriwa kulipa fidia ya TZS 20,000,000, faini ya TZS 5,000,000 kwa Tume, pamoja na kufuta picha zote ndani ya siku 14. #SheriaImerahisishwa #LawMadeEasy #AquilaAttorneys #AdvWitness#SheriaZaWatoto

Adv. Witness
Adv. Witness
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 25 May 2026 09:20:04 GMT
338444
17682
450
2393

Music

Download

Comments

aggy0505
Aggy🌺 :
Wakili msomi afu mrembooo uwiii🥰❤️
2026-05-25 11:37:18
411
mmdt022
mmdt :
Umeelezea vizuri sana wakili. Personal Data Protection Act haicheki na yeyote
2026-05-25 11:45:09
196
lostsoul2094
💔❤️‍🩹 :
Me sjaskia chochochote I’m amazed by how beautiful you are mashallaaaah😹
2026-05-25 17:19:16
61
violajulius
Viola Julius :
Waambie maana wengi hawajui .
2026-05-25 09:53:42
130
emmaventures_tz
Emmaventure safaris :
vipi mm nime postiwa ulaya
2026-05-25 12:07:37
77
strongicome
Strongicome :
We mzuri sana bwana wee
2026-05-25 13:28:25
13
nck231_
Ja Rule :
Sikulipi
2026-05-25 11:11:54
17
maryhanna.elisha
Maryhanna Elisha :
huwezi amin nimesikiliza mpk mwisho🥰
2026-05-25 12:40:46
19
santiago_kileo
Santiago Simba❗️ :
weeee kumbe? mama nakufollow haraka kumbe mi tajiri na sijui?
2026-05-25 11:31:29
52
user9443187684777
user9443187684777 :
THIS IS VERY GOOD... YOU EXPLAINED PERFECTLY, YOU ARE A VERY SMART ADVOCATE. WENYE MASKIO WAELEWE HAYA NA SHERIA HII!!!!!
2026-05-26 20:26:07
6
savagemind52
Hallun🧃🕹️🎮 :
Me nimependa Tu unavoongea ok anyway naomba luhusa nipost hii video yako kwny account yangu ili wengine wajifunze zaid🙏🙏🙏
2026-05-25 12:31:42
37
sk_luxemart
SK_LuxeMart :
Forgive me your honor😩wewe ni mrembo sana, Asante kwa taarifa thou🫶🏾
2026-05-25 12:21:01
22
afel160
Hafidhafel :
Nikiwa kama fashion designer naomba kufahamu ikiwa nimepost picha ya mteja wangu amevaa nguo ambayo mimi ndo nimeifanyia design na kuitengeneza hii inakaaje kisheria?
2026-06-06 10:39:54
6
de..zox
De.. zox 👑 :
kwaiy hata nikikupost kwenye status yangu nikosa my 🤗
2026-05-25 11:34:57
9
dalucie017
Lucie🖤💖😘💫 :
ahsante baby ila mungu atusaidie sis mawinga 😭😭😭
2026-05-26 11:24:35
5
user7601788167706
UNCLE J🧠💪🚖 :
SAUT YAKO MIMI TU HOII🤗🥰🥰😂
2026-05-26 06:19:25
5
danielwarema
DanielWarema :
Mimi mwanangu alitekodiwa na msanii mkubwa nyimbo ya Dayoo ft. Rayvany nyimbo inaitwa nitambe nimekuja kuona baada ya hiyo nyimbo kwenda viral. Nimewasiliana nao ila ni km hawana mpango wowote wa kushirikiana na mm
2026-05-27 04:37:01
5
dr_maeda
Dr E. H.Maeda :
Somo zuri sana, wakili msomi. salute 🫡
2026-05-25 10:34:36
42
callie.apple
Callie Mbwambo :
When Mother Nature was a person.😍
2026-05-25 14:26:21
6
mwajay584
Mwaju✨ :
Unavyoelezea haumchoshi msikilizaji🥰
2026-05-25 13:21:16
9
trece142
🦋Trece😍 :
Somo zuri sana mahii
2026-05-25 11:06:13
9
hertz481
Big Black Harun 🌹 :
provisions of the law plz 🙏 🙏
2026-05-25 10:31:15
14
babe_eyes
Babe_Eyes :
Wewe ndo wakili wangu kuanzia leo 🥰
2026-05-25 13:33:13
5
official_jasie
_____Miss Blossoms 🦋 :
Nimekupenda jmn🥰🥰 ur tooo clean 🥰
2026-05-25 11:28:13
5
To see more videos from user @adv.witness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About